Who is this Man? Mwenye CV yake

Who is this Man? Mwenye CV yake

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
337
Reaction score
1,945
Huyu ni Nani? Naomba mwenye CV yake aiweke hapa

Ndiye new boss wa SSIT? Ataweza? Jw watakubali? Vijana wa Nyerere watakubali?
20250820_130308.jpg
 
Huyu ni Nani? Naomba mwenye CV yake aiweke hapa

Ndiye new boss wa SSIT? Ataweza? Jw watakubali? Vijana wa Nyerere watakubali?
View attachment 3447019
Mvuta bangi fulani muhuni muhuni tu.

Ndo wale wale wa ndiyo mzee hana lolote la maana. Ni mmoja ya watu ambaye hawezi simamia misimamo kuliokoa Taifa dhidi ya udhalimu wa Wanasiasa hasa CCM.
 
Nimekumbuka wimbo wa best nasso_ MAISHA NI UTATA.

Ayaaaaa yayaaaaaaaaa eeeeee

Sina wa kumweleza shidaaaaa.......ni utatataaaaa

Hapo mwanzoooo nilikua na kibanda cha mchichaaaa.... Kilikua kigamboniii ila sio sana ila kilimudu kunilishaaaa ikapita bomoa bomoa eeeeeeee

Ukipata muda usikilizeeeee
 
Huyu jamaa kapigana vita huko urusi dhidi ya Ukraine na alikuwa anakiwasha balaa wakati vita vimeanza yeye akiwa upande wa urusi.Inasemekana ana uzalendo wa Hali ya juu sana na anachukia mafisadi
 
Back
Top Bottom