Ingia Google mzee, yaan jamaa tangu asubuh namchimbuaHamna kitu hapo...
Don't believe all what you see on the internet...
Hakuna billionaire mwenye muda wa kupeana mipasho na billioner mwingine...
Cc: mahondaw
Mi mwenyewe nmeshangaa,ila nlimgugo ndo nikashangaa zaidYule pimbi ndo umfananishe na dangote..kweli.??
Kuna Jambo halijakaa sawa hapo.ukichek Forbes jamaa hayumo,ila ukimgugo unamkutahuyu mwamba namuona saana insta na kwa jinsi alivyo mimi nilijua anafanya tu maisha ya maigizo.
kumbe ni mbabe.
acha kuwa namba moja africa hata kwenye matajiri 50 wa dunia sijamuona huyu mwamba wa ghana
Sent using Jamii Forums mobile app
Source ni GoogleNdio madhara yakuchukua habari Facebook na Instagram haya
Sent using IPhone X
Just Google shatta bandle net worth.me mwenyewe nmeshangaa km unavyoshangaa ww...64b usd unazijua au unazisikia ?...
kwa hizo figure zako ina maana huyu jamaa ni tajiri namba 5 duniani? ...akifukuziana namba 4 na warren buffet mwenye 67.5b usd
Buffet ana73b64b usd unazijua au unazisikia ?...
kwa hizo figure zako ina maana huyu jamaa ni tajiri namba 5 duniani? ...akifukuziana namba 4 na warren buffet mwenye 67.5b usd
1. Kila mtu anaweza eka info google, tafuta website za uhakika.Just Google shatta bandle net worth.me mwenyewe nmeshangaa km unavyoshangaa ww...
Sent using Jamii Forums mobile app