Who is the Killer?

Who is the Killer?

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,140
Reaction score
2,388
29cd68b21034b7febf7ec7953326e3a5.jpg

Mi nahisi Namba 3 au Namba 4 kwa sababu
Namba 3 mwanamke pekee anaeweza ingia kwenye bafu za kike!
Namba 4 kwa kua hana kisu mezani kwake!
 
Inawezekana ni namba 2 ila hadi nifahamu aliagiza nini. Kama aliagiza chai na chapati basi ni sawa kuwa na sahani mbili.
 
Naona ni namba 3.

Kwasababu
1. Anaweza kuingia bafuni ni mwanamke
2. Ameagiza Kisu cha nini na wakati naona mezani anakimiminika cha moto?
3. Hiyo handbag yake anaweza kuwa aliweka vitu vingine.
4. Anaonekana Ha- concentrate mezani kama wenzake
 
Killer n namba nne maana Kila Meza ina kisu hata Meza isiyo na mtu, ni yeye pekee mezani kwake Hakuna kisu
 
Back
Top Bottom