Usilete mambo ya Argentina maana tatizo sio messi bali ni Argentina.Wameuliza nani ni ronaldo bora,kati ya hao watatu,mnaleta habari ya messi... Huyo kirikuu aende inter milan au hata man city tuone atakuwaje,ujanja wote unaishia barca,mbona akiwa argentina anapuyanga tu?!!. Anyway turejee kwenye mada.
Gaucho- ni mchezaji wa kipekee sana linapokuja suala la soka la burudani,ana vitu vya ajabu kuwahi kuviona kwa wengine.hakudumu kwenye soka . nampa 90%
De lima- alikuwa mzuri sana kwa nafasi yake,asilimia kubwa alicheza kwenye namba yake (9) mara chache sana akitokea pembeni kulingana na mfumo wa mechi husika, nae hakudumu sana,(majeruhi) nampa 85%
Cristiano. Huyu ana kipaji cha kawaida lakini anafanyia juhudi sana uwanjani ,wapo cristiano wawili ,yupo yule wa manchester united kinda kutoka sporting cp,mshike mshike mshike wake si wa kitoto. Yupo wa madrid na juventus,kutokana na umri kwenda amebadili staili ya uchezaji ,kutoka kukimbiza mpaka kuwa finisher,kwakweli anatenda haki,amedumu kwenye ubora kwa zaidi ya miaka kumi na bado mpaka sasa yupo atakuwepo kati ya wachezaji bora watatu wa dunia mwaka huu.nampa 95%
Hitimisho. Cristiano ndiye ronaldo bora kati ya hao ronaldo watatu.
Sijaanza kungalia mpira juzi aisee,mimi nimeanza kuangalia mpira world cup 1994 mpaka leo,nimeshuhudia wachezaji bora wengi,gaucho alikuwa wa kipekee lakini hakudumu,mtu anakuwa bora misimu mitatu halafu awe most ofall time!!?. How come...!!?Usilete mambo ya Argentina maana tatizo sio messi bali ni Argentina.
Kwahiyo usimdhihaki messi ilhali yeye ndiye anaongoza kwa magoli Pale Argentina na yeye ndiye kaibeba sana mpk kuingia international tournament labda uwe unafatilia mpira juzi.
TURUDI KTK MADA.
Kiukweli Ronaldinho ni zaidi ya hao waliobakia.
Nisiongee sana nadhan unakumbuka how Skillfull he is na mafanikio aliyoipatia team yake ya Taifa kombe la dunia,kombe la mabara,
Copa america n.k n.k.
Ronaldinho he is a beast nimemiss zile skills zake aisee.
Sawa ila je ktk hiyo misimu mitatu ana mafanikio gani mkuuu???Sijaanza kungalia mpira juzi aisee,mimi nimeanza kuangalia mpira world cup 1994 mpaka leo,nimeshuhudia wachezaji bora wengi,gaucho alikuwa wa kipekee lakini hakudumu,mtu anakuwa bora misimu mitatu halafu awe most ofall time!!?. How come...!!?
Rudi kwenye swali husika, wameuliza yupi bora kiufundi kati ya hao ronaldo watatu,hata kama ..kwa mafanikio kitimu na tuzo binafsi bado cristiano anawazidi mbali..Sawa ila je ktk hiyo misimu mitatu ana mafanikio gani mkuuu???
Mkuu Gaucho ni legendary aisee.Rudi kwenye swali husika, wameuliza yupi bora kiufundi kati ya hao ronaldo watatu,hata kama ..kwa mafanikio kitimu na tuzo binafsi bado cristiano anawazidi mbali..
Zidane ni muislamu chifu, tena Mua~Algeria. Kwangu mimi From 1994 to 2006-7 Zidane alikuwa The best kuriko hao makuffaar Ronaldo nazalio na Ronadinho.
Kumbe Gaucho alikuwa striker?Mkuu utakua hauko serious kumfananisha Gaucho na Ronaldo.
Hakuna kitu Ronaldo Christiano anamfikia Gaucho milele.
Gaucho kipaji toka mbinguni mkuu tuongee ukweli tuache unafiki.
Tunaongelea kina ronaldo aiseee,mkileta mambo ya zidane ni kama ( mnafeli mtiahani)Wanaojua wachache sana wengi ni wa vurugu
Sasa alikuwa kiungo mshambuliaji,but kwa staili ya soka yake ilikuwa ni hatari popote alipo,kushoto,kulia,katikati,kushambulia si ni namna unaisukuma timu kuelekea timu pinzani, he was key player of it. Au mimi sielewi hapa?Kumbe Gaucho alikuwa striker?
Tunaongelea kina ronaldo aiseee,mkileta mambo ya zidane ni kama ( mnafeli mtiahani)
We nae...!!Hao walioko juu ni wachumba kwa Zinedine zizo. Labda Cr7 wanaweza kuringana. Fainali ya 98 aliwafanya wake zake kanzu nyingi, chenga ndo usiseme. Ustazi atabakia kuwa ustazi tu hao makuffaar wa brazili wakasome.
wanaleta mambo ya messihuu uzi mnauharibu mnatoka sana nje ya mada,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Ronaldo mmoja tu.. Ronaldo De Lima ndie alikuwa Ronaldo wa special... Ronaldo wengine wote waliobaki ni Ronaldo mtumba.
Gaucho sio Ronaldo ni Ronaldinho.hadi gaucho?
Ronaldinho ni Ronaldo pia, Maana ya Ronaldinho anamaanisha ronaldo mdogo, alipewa jina hilo ili kumpisha De lima pale katika timu ya taifa ya brazil apewe heshima yake, yeye akaamua kujiita ronaldo mdogoGaucho sio Ronaldo ni Ronaldinho.
Alkua natafta hela ale chini mzee [emoji28][emoji28]Kwa show game uwanjani kwa kweli mpaka leo sijaona kama gaucho sio messi wala cr7 anamkaribia ila ni vile tu alipendelea sana chini kuliko carrier yake, ukija kwenye mafanikio na kudumu kwenye ubora kwa muda mrefu basi hao wote hawajamfikia CR7!!