Who is the best, Pele or Maradona?

Ni Pele au Pele`

sababu

1. Ndiye Pionner au mwanzilishi wa style zote:-
  1. Tick tacker
  2. Acrobatic
  3. Bicycle kick
  4. Scorpion kick
  5. Scissors kick (mkasi kama aliyopiga Juan Mata juzi)
  6. Gard Murrer (hizi alikuwa anapiga Tonny Yebboa)

2. Alikuwa anafunga kwa kiungo chochote kasoro mabao ya mkono maana mabao ya kiungo hicho hayakubaliki

3. Amecheza world cup 4 amechukua 3, ikiwemo Jules lamet ambalo alichukua moja kwa moja

4. Style zake nyigine wachezaji wanaocheza sasa hawaziwezi akiwemo Maradonna

5.Kuna mambo alifanyiwa Pele ambayo hajafanyiwa mchezaji yoyote akiwemo Maradonna hii ni kutokana na kukubalika kwake kisoccar. Mfano
.

  1. Huko Columbia refa alimtoa nje Pele kwa kadi nyekundu matokeo yake refa ndiye alitolewa Pele akabaki
  2. Hapa Tanzania Pele na club chake cha Santos walipata mwaliko na club cha Yanga na mkataba kusainiwa kwamba waje akiwemo Pele kwa bahati mbaya mke wa Pele akajifungua kipindi hicho ikabidi Pele ahilishe safari matokeo yake mkataba ukavujwa ila kanga mpaka sasa zipo PELE NA SANTOS WAGENI WA YANGA.
  3. Alitangazwa kuwa Pele ni nyara ya serikali ya Brazil na bunge la chi hiyo kwa hiyo hakuuzwa mpaka alipostaafu kuchezea timu ya Taifa . Maradonna hakufanyiwa hivyo
  4. Hajawahi kufunga bao la mkono, Maradonna amefunga bao la mkono
  5. Pele hajawahi kubwiya unga , Maradonna alikuwa teja
  6. Pee hajakanyaga milango Polisi, Maradonna kasha fikishwa Polisi kwa tuhuma za kukutwa na unga
  7. Huko Senegal Pele na Santos walienda kucheza mechi za kirafiki na vilabu vya huko basi Pele alimpiga chenga mbaya golikipa matokeo yake kipa alivua jezi akalitupa na kuondoka mwisho wa mpira Pele alimtafuta kipa yule ampe mkono kipa yule alikataa

nimeipenda.
 
Ni watu tu na mahaba yao kwa Brazil ndio wanamtukuza Pêlle kama Ronaldo na wapenzi wa manure ila ukweli unabaki Maradona Alikuwa moto wa kuotea mbali.
 
kama mpira ni magoli sina haja ya kujaza server. mengine ongezeeni Pele ni noma.kwa magoli tu mjadala ushaisha kwangu
 
Ni Pele au Pele`

sababu

1. Ndiye Pionner au mwanzilishi wa style zote:-
  1. Tick tacker
  2. Acrobatic
  3. Bicycle kick
  4. Scorpion kick
  5. Scissors kick (mkasi kama aliyopiga Juan Mata juzi)
  6. Gard Murrer (hizi alikuwa anapiga Tonny Yebboa)

2. Alikuwa anafunga kwa kiungo chochote kasoro mabao ya mkono maana mabao ya kiungo hicho hayakubaliki

3. Amecheza world cup 4 amechukua 3, ikiwemo Jules lamet ambalo alichukua moja kwa moja

4. Style zake nyigine wachezaji wanaocheza sasa hawaziwezi akiwemo Maradonna

5.Kuna mambo alifanyiwa Pele ambayo hajafanyiwa mchezaji yoyote akiwemo Maradonna hii ni kutokana na kukubalika kwake kisoccar. Mfano
.

  1. Huko Columbia refa alimtoa nje Pele kwa kadi nyekundu matokeo yake refa ndiye alitolewa Pele akabaki
  2. Hapa Tanzania Pele na club chake cha Santos walipata mwaliko na club cha Yanga na mkataba kusainiwa kwamba waje akiwemo Pele kwa bahati mbaya mke wa Pele akajifungua kipindi hicho ikabidi Pele ahilishe safari matokeo yake mkataba ukavujwa ila kanga mpaka sasa zipo PELE NA SANTOS WAGENI WA YANGA.
  3. Alitangazwa kuwa Pele ni nyara ya serikali ya Brazil na bunge la chi hiyo kwa hiyo hakuuzwa mpaka alipostaafu kuchezea timu ya Taifa . Maradonna hakufanyiwa hivyo
  4. Hajawahi kufunga bao la mkono, Maradonna amefunga bao la mkono
  5. Pele hajawahi kubwiya unga , Maradonna alikuwa teja
  6. Pee hajakanyaga milango Polisi, Maradonna kasha fikishwa Polisi kwa tuhuma za kukutwa na unga
  7. Huko Senegal Pele na Santos walienda kucheza mechi za kirafiki na vilabu vya huko basi Pele alimpiga chenga mbaya golikipa matokeo yake kipa alivua jezi akalitupa na kuondoka mwisho wa mpira Pele alimtafuta kipa yule ampe mkono kipa yule alikataa

mkuu hapo kwenye bold nilikuwa cjawahi kupasikia,kweli pele kiboko
 
Back
Top Bottom