Who is Shivji mpaka asikosolewe?

Wakati anatoa mhadhara wa uprofesa mwaka 1990 Nkrumah hall sijui ulikuwa ndani ya kaptura ipi?
 
Maprofessa wa Bongo Lipumba,Kabudi,Shivji ni Maprofessa "Bahasha" wasikupe tabu.
Lipumba atakupa taabu ktk uchumi lakini siyo siasa.
Kabuni atakupa taabu ktk sheria lakini siyo siasa.
Shivji atakupa taabu ktk sheria za ukomo wa DPW lakini siyo siasa. Umesema vyema.
 
Lipumba atakupa taabu ktk uchumi lakini siyo siasa.
Kabuni atakupa taabu ktk sheria lakini siyo siasa.
Shivji atakupa taabu ktk sheria za ukomo wa DPW lakini siyo siasa. Umesema vyema.
One thing in common wote ni wapenzi wa "Bahasha".
 
Na hata ktk hilo bunge la katiba ni kipengele kimoja tu cha muundo wa serikali tatu muungano ambacho Shivji kwa maoni yake alipinga na akatoa hoja zake kuwa bora ziendelee kubaki mbili ingawa sisiem walimpenda hapo hapo ktk hoja hiyo hiyo kw sababu sisiemu ina advantage ktk kumpata rais wa JMT kwa kupitia kura za Znz kuliko CDMM and et al.

Lakini Shivji alikuwa na hoja nyingi mtambuko kama za uraia na mali asili, ardhi na nishati zenye maana kubwa na hazikuwa ktk muswada wa warioba lakini watu yoote hayo hawayakuyaona bali muundo wa serikali kwasababu ulikuwa na maslahi na kukosa maslahi ya kisiasa.
 
One thing in common wote ni wapenzi wa "Bahasha".
Kama kuna mtu kampa Shivji bahasha atetee mali za Tanganyika huyo mtu ni muhimu sana kwa Tanganyika. Hata Mimi nikiweza nampa Shivji bahasha ili wapinge waarab na washenzi wote wasioitakia mema Tanganyika.
 
Kwa Nini unawaogopa waarabu! Toa sababu ili tuweze kumpa mzungu unayemtaka
 
Kama kuna mtu kampa Shivji bahasha atetee mali za Tanganyika huyo mtu ni muhimu sana kwa Tanganyika. Hata Mimi nikiweza nampa Shivji bahasha ili wapinge waarab na washenzi wote wasioitakia mema Tanganyika.
Shivji wa kesho utamshangaa kwa U turn utasema sio huyu.
 
mseng.e mseng.e kama wewe unamkosoa nguli wa sheria wa nchi hii?
 
Baba yako alisoma kipindi cha nyerere hiko hiko vp na yeye ni prof
 
Na kwakuongezea tu Wahindi wamekuja hapa kutengeneza reli imekamilika mpaka imezeka, mpaka tunajenga SGR bado anataka kujiona anaweza kutusemea
 
Hoja hujibiwa kwa hoja.
 
Uwekezaji ni muhimu sana regardless how umefanyika. Tumechoka na huu umaskini wa kujitakia. Mbaya zaidi wachache wezi wa bandari ndo wanaonufaika at the expense of the majority. Ilikuwa kwamba ukiajiriwa bandarini basi umeula. Sasa basi

Maskini ni wewe na familia yako mnao penda kukaa tu nyumbani mletewe na waarabu. Mtu timamu una afya njema huwezi kua maskini. Tafuta hela wewe vinginevyo waarabu wa Dubai watakushikisha ukuta wakupe hela ya pampers
 
Ni bora shule zifunguliwe Jumatatu mrudi masomoni. Shivji ashindanishwe na Kabudi kunywa dawa ambayo haijajaribiwa Kimaabara au ashindanishwe kwenye nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…