Sam Wellson
Member
- Jun 1, 2022
- 65
- 223
Rudia tena kunisoma mkuu, Nimeleza Clear kuwa rating za Customers zita appear kwenye mitandao, Sasa nataka kujua authority inayoamua Kuwa Let say Glan melia is 5 starsUna mix vitu viwili.
Adhi ya hotel (mfano ukisikia Ramada ni Hotel ya Nyota 5)
Na rate za customers. Izo ndio unazoziona Trip Advisor, Google Map etc
Izo ni factor za level of comfort ,hospitality and accommodation, hapo ndo wanachagua ipi five mambo mengine kama recreation vile presidental room,Rudia tena kunisoma mkuu, Nimeleza Clear kuwa rating za Customers zita appear kwenye mitandao, Sasa nataka kujua authority inayoamua Kuwa Let say Glan melia is 5 stars
Wewe hata ukijua hii hotel ni nyota ngapi itakusaidia nini?unataka nyota au huduma bora?Wakuu mimi ni mdau ninapenda kucheck rating za Mitandaoni kama Google, Booking, Tripadvisor kabla sija Book Hotel or Lodge sasa basi ningependa kujua ni mamlaka gani hufanya rating kwa hizi hotel zetu kwamba this is 3 stars and this is 4 stars hotel na je over the time huwa wana update izo taarifa mfano hotel fulani ili layoff watu wengi na kupunguza operations kipindi cha Convid je mamlaka hio ili downgrade hio hotel?
The hotel was 5 stars.
Rating za Booking au Trip Advisor ziko based na wadau ambao wamelala hio place hurate na kutoa maoni yao yani experience at a specific hotel, Japo wabongo hatu care na kurate izi hottel even if we received a very poor service.
Swali lako zuri sana! Jibu lake kwa kifupi sana, lina sehemu mbili kama ifuatavyo:Rudia tena kunisoma mkuu, Nimeleza Clear kuwa rating za Customers zita appear kwenye mitandao, Sasa nataka kujua authority inayoamua Kuwa Let say Glan melia is 5 stars
Kwa hiyo unataka kusema kwamba Tanzania nzima hatuna hoteli yenye hadhi ya nyota tano? Vipi kuhusu Hyatt Regency- The Kilimanjaro iliyopo Dar, Gran Melia ya Arusha na Melia Zanzibar?Kwahiyo mpaka hapo unaweza kuona kama ni kweli kuna hoteli inayaweza kukidhi vigezo hivyo kwa level ya nyota hata mbili tu hapa bongoland!
Ni hiari yako/yenu kukubali au kukataa, ukweli ndiyo huo. Kwenye masuala ya kimataifa huwezi kulazimisha vigezo unavyotaka wewe. Hoteli si kama chuo kikuu au kiwanda cha matofali ambavyo mnaweza kulazimisha vigezo vyenu.Kwa hiyo unataka kusema kwamba Tanzania nzima hatuna hoteli yenye hadhi ya nyota tano? Vipi kuhusu Hyatt Regency- The Kilimanjaro iliyopo Dar, Gran Melia ya Arusha na Melia Zanzibar?
Hii website inamilikiwa na Wazungu (Wamarekani), Je, wanadanganya kuhusu hizi 5 star hotels walizoziorodhesha zilizopo Tanzania zikiwemo nilizozitaja kwenye bandiko langu la awali?Ni hiari yako/yenu kukubali au kukataa, ukweli ndiyo huo. Kwenye masuala ya kimataifa huwezi kulazimisha vigezo unavyotaka wewe. Hoteli si kama chuo kikuu au kiwanda cha matofali ambavyo mnaweza kulazimisha vigezo vyenu.
Kumbuka kwamba kwa mfano katika suala la chakula hata wewe ukiwa na hela yako ukienda Mexico, Moscow au Cuba uko huru kuchagua ule nini na wapi, vivyo hivyo utachagua mwenyewe matibabu, pa kulala nk. na ukirudi kwenu uko huru kusifia au kuponda ulichokula huko na kadhalika.
Vinginevyo labda mjiunge nchi za kiafrika muanzishe rating zenu. Kwa mfano badala ya nyota mtumie alama zenu kama x, mwenge, jembe, nk. Tatizo kama mtashusha vigezo itakuwa vugumu kutambulika kimataifa hizo alama zenu.