Who is Putin?

1. Rejea Mkataba wa Minsk
2. Ushirikiano haramu wa Marekani na NATO nchini Ukraine
3. Mashambulizi na ubaguzi wa mara kwa mara wa Ukraine dhidi ya majimbo huru ya Donetsk & Luhansk
4. Biolabs za Marekani Ukraine
5. Kujitanua kwa NATO kuelekea mashariki zaidi
6. USA kukwepa internal problems zake kwa kuanzisha external problems kwenye nchi zingine
7. Ajenga ya NWO: There has to be one and only one hyperpower!
8. Joe Biden aliahidi kumwadhibu Putin hata before. I mean, alianzisha bifu na Putin kabla ya bifu lenyewe. So, vita vya Ukraine ni chambo tu cha mkakati mkubwa.
9. Marekani na nchi nyingi za kibepari zinafanya biashara kubwa wakati wa vita: uuzaji na majaribio ya silaha zao. (Ref. military-industrial complex)
10. USA does not feel happy with Russia enjoying her vast resources of oil, gas, minerals, etc. She would rather start war on Russia and make her life miserable if possible.
11. Mainstream Media!

 
Mbona tunawekeana mamlaka tena kwenye freedom of speech/write
Kuwa mpole if your not interested ndugu sio lazima umalize chaji yako bure kwa kucomment my friend
Daah! Jamaa msitaarabu sana wew
 
I said from the beginning sipendi vita na huwezi halalisha Uovu kwa Uovu kwamba Marekani Aliua innocent people Iraq or Libya basi na Putin aue watu wasio na hatia Ukraine.
Mbona hatukuona unatoa comments wakati nchi huru libya, Iraq etc zikivamiwa na usa na nato . Watu wengine mmerogwa.
 
Ila sio sababu ya yeye Kuua watu wasio na hatia #Ukraine boss sawa sawa baba yangu shikamoo salamu toka kwa kijana wa juzi.

Kumbe ilikua miaka hiyo siku za karibuni kafanya nini kubari misaada mingi inatoka Ulaya baba yangu.
Kwanini unahamisha magoli, ungefungua hoja nyingine ya misaada.Kwa hiyo misaada mnayopewa hata kuingilia tamaduni zenu kama kulazimisha ndoa za jinsia moja kwako ni sawa.
Hakuna kitu cha bure
 
Nilidhani una nondo kumbe pumba.

Kachukue dollars 2 ubalozini umetimiza walichokutuma.

Ila waambie umefeli
 
Nilidhani una nondo kumbe pumba.

Kachukue dollars 2 ubalozini umetimiza walichokutuma.

Ila waambie umefeli
Sawa Mh spika njoo basi wewe na Nondo zako I myself ninaandika ninachokiona na sio Propanganda Ndugu yenu kabaki kuua watoto na wamama from the beginning nimesema Mimi sio mfuasi wa vita ninaamini katika mazungumzo
 
Ungeandika historia yaje amezaliwa wap amesomea wap aliingiaje kwenye jeshi
 
Na Putin amekataa hayo ?

NATO / Ukraine na Russia wanafuata makubaliano waliyowekeana baada ya USSR kuvunjika ?

Na wale nusu ya Ukraine ambao ni Pro Russians na wanasema Ukraine inawabana unasemaje ?

In short hapa Putin is not the Only Bad Guy (Avumae Papa Baharini ila kuna kina Nyangumi pia)
 
Umenikumbusha mtoto wa dada yangu alikuwa Kharkivi kuna mahali alitembea umbali wa kilomita 80 baada ya kuchuka mji wa Liviv ndio akapitia Poland ndio akaja Tanzania tusiombee vita.Alifika miguu imevimba ajili ya kutembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…