Who Is Prophet Gwajima?

Hayo majungu tu, mawazo mgando, ivi akitembelewa mbona inakuwa maneno!??? Au ulikoswa cha kupost!???

Sikukosa ndo maswali nliyoamka nayo kichwani, Siku hizi tunapangiwa cha kupost?

By the way Ichio Nade? Wach ma dala?
 
Huwa napata sana mashaka na huyu jamaa,saa nyingine huwa nahisi ni spy tena Intetnational Spy...anajua mambo mengi na ana taarifa nyng pia
Ukijitokeza kuwa msemaji bila kuogopa, watu wengi waoga watakuletea habari Ili uwe msemaji wao. Kwa utaratibu huo unaweza kuwa na habari nyingi hadi watu watashangaa.

Hakuna kingine zaidi ya yeye kuwa tayari.
 
Hili nalo neno
 
Gwajima Sio Prophet

Ni Mchungaji na Askofu.
Ni mtu wa Mbinguni na ni Jeshi la Bwana.

Kwa uchache...kama ulikuwa hujui.
 
Reactions: PNC
aiseee ndio mana mnataka wasajiliwe wenye Degree na kuendelea humu jf etiiii eeeeh???
 
Huwa napata sana mashaka na huyu jamaa,saa nyingine huwa nahisi ni spy tena Intetnational Spy...anajua mambo mengi na ana taarifa nyng pia

Anawatumia wafuasi wake waliopo serekalini vibaya. Anafundisha unafiki NA vitina.

Askofu anapaswa kufundisha maadili mazuri NA upendo, sio uchafu, kudhalilisha watu. Hayo sio mafundisho ya YESU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…