T Topical JF-Expert Member Joined Dec 3, 2010 Posts 5,173 Reaction score 941 Sep 22, 2011 #1 Ana uhusiano gani na Basil Pesambili Mramba na Gray Mgonja...na EPA bandits ??? Mbona hapelekwi mahakamani kama wenzake
Ana uhusiano gani na Basil Pesambili Mramba na Gray Mgonja...na EPA bandits ??? Mbona hapelekwi mahakamani kama wenzake
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Sep 23, 2011 #2 Wewe ndio utuambie huyo ni nani? na umeulizwa kwanini hapelekwei mahakamani kwahiyo inaonesha una habari zake.
Wewe ndio utuambie huyo ni nani? na umeulizwa kwanini hapelekwei mahakamani kwahiyo inaonesha una habari zake.
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Sep 23, 2011 #3 Toa habari kamili.
Shakazulu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 957 Reaction score 283 Sep 23, 2011 #4 Last time I heard he was a top guy at PSPF. He has also worked for PWC as an auditor. Kwani kafanya nini?
Last time I heard he was a top guy at PSPF. He has also worked for PWC as an auditor. Kwani kafanya nini?
T Topical JF-Expert Member Joined Dec 3, 2010 Posts 5,173 Reaction score 941 Sep 23, 2011 Thread starter #5 Mzee said: Toa habari kamili. Click to expand... Inasemekana amehifadhi pesa za EPA kutoka epa pandits tunataka kumdadisi tu
Mzee said: Toa habari kamili. Click to expand... Inasemekana amehifadhi pesa za EPA kutoka epa pandits tunataka kumdadisi tu
M Mbopo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2008 Posts 2,532 Reaction score 416 Oct 4, 2011 #6 Topical said: Ana uhusiano gani na Basil Pesambili Mramba na Gray Mgonja...na EPA bandits ??? Mbona hapelekwi mahakamani kama wenzake Click to expand... Hebu jitahidi kuwa mtu mzima. Mtu huyo hatumjui, hatujui ana uhusiano na nani na wala hatujui amefanya nini au uhusika wake kwenye EPA ni upi halafu unaturushia swali hilo. Unatutendea haki?
Topical said: Ana uhusiano gani na Basil Pesambili Mramba na Gray Mgonja...na EPA bandits ??? Mbona hapelekwi mahakamani kama wenzake Click to expand... Hebu jitahidi kuwa mtu mzima. Mtu huyo hatumjui, hatujui ana uhusiano na nani na wala hatujui amefanya nini au uhusika wake kwenye EPA ni upi halafu unaturushia swali hilo. Unatutendea haki?