WHO inamuita Janabi pia profesa?

WHO inamuita Janabi pia profesa?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,217
Reaction score
14,815
kwa wanaofwatilia mgombea wa tanzagiza huko geneva, ningependa kujua huko who officialy wanamtambulishaje? je, wanamuita profesa Janabi pia kama sisi tanzagiza au wanamtambulishaje?
 
Unajua mkuu kama janabi amewahi kuwa mhadhiri chuo kikuu watamuita tu professor, wenzetu wanajua Kila anayefundisha chuo kikuu ni professor. Ulaya na Amerika kote wanaofundisha university ni maprofessor. Kuna kipindi nilitembelewa na professor mmoja wa chuo kikuu Cha Chicago alishangaa sana kukuta Tutorial assistant et anafundisha kozi hapa nchini achilia mbali assistant lecturer
 
kwa wanaofwatilia mgombea wa tanzagiza huko geneva, ningependa kujua huko who officialy wanamtambulishaje? je, wanamuita profesa Janabi pia kama sisi tanzagiza au wanamtambulishaje?
Wanaweza kumuita Prof au ajaiywa Doctor.

Kwasababu maan ya Profesa ni Mwalimu.

Mara nyingi kama.mtu hafundishi, hakuna sababu ya kumuita Profesa...

Ndio maana Nyerere alikomaa na ID yake Mwalimu.
 
Kwa Nyerere kuitwa "Mwalimu" hata wakati ilikuwa sawa, ila kwa Janabi kuitwa "Prof." hata kama hafundishi sio sawa eti?
 
Ni interest za mtu.

Ila Nyerere alikuwa hafundishi darasani. Ila amefundisha kila kitu nchi hii wakati anajenga msingi.

Hakuna kitu ambacho Nyerere hakufundisha, kwa hotuba, vitabu na maamuzi (ukabila, uchaguzi, vyama vingi, muungano, uchumi, mahusomiano ya kimataifa).

Janabi anafundisha kitu gani, maana anaenda kusimamia sera za WHO World kwa upande wa Afrika.
 
Dah!
 
Back
Top Bottom