If you bet on all possible outcomes you will lose money because the odds don’t add up. But the truth is, that’s not the only thing in the bookies’ favour. As more and more people bet on an event, the odds change as the bookie changes the odds to ensure that whatever happens, he’s going to make a profit.Is it important to pay attention to the odds that a bookmaker offers when choosing a betting platform? I never really cared about that before.
Kijiwe gani mkuu unatokea🤣Way kulikuwa na story mtaani kuwa Dr Leakey ndo alikuwa anaandaa hizi odds na aliwahi kumpiga mhindi parefu mpaka akafungiwa 😁😁
Wapo wachina wanafanya hizo kazi pia wakati gemu inaendelea mshahara wao sio wakitoto 40M per monthKwa kifupi hapo ni AI inafanya analysis, inaangalia history, events nk. Ndipo inagawa hizo odds, nafasi ya mtu/bookies ni kwenye issue chache sana mfano inapotokea injuries ambazo AI haina taarifa nazo.
Hayo ni majaa ya nje yanatafuta backlinks🤣Kumbe huwaga tunawadharau bure watu wa kubet.
Tazama lugha inavyomwagwa hapa, hata mfanyakazi wa benki hawezi kuandia ngeli kali kama hizi