Whites are smarter than blacks

Dah,ni ngumu kuwaelimisha.Hii kazi ilipaswa kufanywa na vyuo vyetu,sasa waalimu wenyewe ni kama ninyi tutatoboa kweli,no way.
 
Waambie pia umeme umevumbuliwa na watu weusi walioishi egypt.
Waambie waende wakafanye utafiti kwenye kitu kina itwa "dendera light bulb" na baghdad battery.
Waambie wamisri walikua ni watu weusi waliojenga pyramids na technology nyingi wanazoziona sasa zilizofanyiwa modification.
Waambie waarabu egypt walikuja juzijuzi miaka 1500 iliyopita, empire zina rise na kufall. So black empire(agypt) ili fall kama empire nyingine.
Waambie african are the original and purest man on earth and others depend too much on the original man from intelligence to material.

Tell them my african brother.
 
You are a real "Genius Jaguar" brother,thankyou.
 
This is strange.Hizo technology zimetufikisha wapi?,mbona tu duni toka enzi na enzi,mzungu amekuja africa katukuta duni,wakati huo yeye ameadvance sana tu,huoni kwamba maisha aliyotukuta nayo mzungu ndio yalitufanya tuonekane duni mkuu.Tusiwangizie sana wazungu kuhusu uduni wetu.Misingi yao ya namna ya kufikiri na kutendea imejengwa na hali yetu halisi
 
Kitu pekee naweza msaidia mwafrika ni kufuta historia yake ya utumwa na aanze upya kuandka historia itamsaidia kujenga confidence kweny vizaz vyake vijavyo
 
Dah,ni ngumu kuwaelimisha.Hii kazi ilipaswa kufanywa na vyuo vyetu,sasa waalimu wenyewe ni kama ninyi tutatoboa kweli,no way.
Kinachoniumiza hata waliosoma nje hawana positive impact na hii nchi wapo wapo tu labda waliosomea udaktari ila hawa wakandarasi bure kabisa hata kuiba ujuzi hakuna walipotoka.
 
Yaani mtu na akili zako,umeshushwa mpaka umefikia kiwango cha kunidharau hata mwenyewe!Very stupid indeed.
Nimemuunga mkono sababu ndio uhalisia tembelea vyuoni uone uchafu, angalia wataalamu wetu wengi bado wanababaika bado, nani mtaalamu aliyetoka nje kafanya jambo la maana litakalokumbukwa vizazi na vizazi lenye faida kila uchao kwa ustawi wa taifa letu,ndio maana nikatoa mfano wa madaraja mengi hapa bongo, Mimi na Bsc yangu ndogo ya banking tu baada ya kazi kwa maika 3 at least nikafungua kimicrofinance na debt solutions co. baada ya ajira kwa miaka 3, nasasa ni kiwanda kidogo kinafuata November kigamboni, istoshe hapo bado tuna application ya mtu kasoma Sussex university anataka aje pata uzoefu wa ishu za finances, alivyokuwa ulaya alikuwa ni mtu wa tungi na totoz tu, namjua vizuri sababu tulisoma ifm akasitisha mwaka wa pili akapelekwa UK na mshua wake ili apate elimu iliyo bora lakini so far bure kabisa!! sasa unajiuliza huyu badala alete nondo za ubunifu toka ulaya anakuja tafuta uzoefu wakati sisi tunataka madini yake namna ya kuboresha huduma yeye anataka aje pata uzoefu kama kutupa ushauri..loooh!!

Sisi bado tunahitaji mapinduzi makubwa kielimu,kiuchumi na kiustaarabu japo tunaelekea ila dunia inakimbia sisi tunatambaa...!
ndio maana ngono mbele, angalia kwenye maofisi rushwa ya ngono ilivyotamalaki, mwaka fulani wakati nimeajiriwa tulikuwa dodoma kwenye GM pale morena hotel hahahhaha CEO akamwambia hr huyo fulani (mfanyakazi mpya mke wa mtu - ila ilikuwa pisi kali) usimchukulie chumba bali ampe namba ya chumba chake ili apige mzigo huku mtoto wa watu hajui lolote na vile alikuwa newcomer, ilihali Mzee ana mke na watoto kibao, sisi ngono mbele watu weusi.

Hapo sijakupa kisa cha MD wa benki moja ya k'njaro aliyepita na kasoma nje huyo Mzee, mpaka benki almanusura ifirisike, tembea uone mkuu.
 
Hivi kwa nini msikubali kwamba hayo mazingira wazungu wametujengea for their own interests?What is wrong with you.Hebu fuata link ifuatayo uone ukweli.

Despite being despised as not being smart and unintelligent,Africans were actually the first to make contributions in science and technology.


Mnajua, ninyi mnaojiita wasomi wa vyuo ndio mnaotakiwa kuujua huu ukweli,ili muwasaidie wale ambao hawakupata bahati ya kupata elimu.Frankly mnapo fall into the trap of the Wazungu,I simply do not understand you.
 
Tuna wasomi wamesoma nje na wana exposure, why wasiunde curricular mchanganyiko tupate lillilo sahihi kulingana na hali halisi yetu apart from adopting it from whites bila kuongeza yetu?
Ndio maana nasema hawana positive impacts zaidi ya ngono tu, rushwa pamoja na nepotism, ndio maana nikamuunga mkono yule mjuba mwenzangu ,sasa hata walio na mamlaka na wamesoma hapa bado bure kabisa ndio maana ukiona kwako pabovu unaangalia kwa mwenzako, hata tunasema "ukishindwa buni basi gezea tu" nasi tumegezea, ndio maana tunawa appreciate whites kwa taratibu zao,sisi ni wavivu.
 
Kitu pekee naweza msaidia mwafrika ni kufuta historia yake ya utumwa na aanze upya kuandka historia itamsaidia kujenga confidence kweny vizaz vyake vijavyo
Kile kidonda hakiishi jomba, na maumivu yake hayafutiki katika damu za wanadamu wenye ngozi nyeusi.

Slavery ipo kwenye bongo na damu za watu weusi.

Jaribu kumfuatilia ''Ice cube'' katika comments zake utathibitisha hayo.
 
Unajua kuna swali la msingi nilikuuliza ila hukujibu. Wakati wazungu wanatengeneza mazingira hayo ni kwanini sisi hatukuresist? Kwanini tulikubali kupokea mazingira hayo?

Obviously, wazungu walitengeneza mazingira hayo kwa faida ya so Wana AKILI na MAARIFA. Watu weusi hawakuwa na mazingira mazuri na security yao ya kutosha yaani Economically, Socially ana Physically....so walikuwa na UJINGA, UZUZU na UZEMBE.

Haiwezekani aje Mwanaume mwingine ndani ya nyumba yako then akuwekee utaratibu wake nawewe na familia yako mpo tu.
 
Kwa hiyo wewe Kima?Hovyo sana,kama Kima ni wewe,sisi sio Kima.We know exactly what happenened mpaka system hii iliyopo sasa ikawepo.Hivi mwanadamu utamwabuduje mwanadamu mwenzio?Huu ni ujinga na upumbavu of the highest order.
Ziangalieni siasa zenu za Africa na tabia za viongozi wenu!!!
1) mliwafukuza kwa kuwaita wakoloni
2) Leo waafrika wanakimbilia ulaya kwa gharama ya kifo
3)mliachuwa vitu vingi mmeviua kwa kukosa akili sasa mnawaita waje kwa jina LA wawekezaji
4) mnawalaumu eti wamewasanabisha umasikini !! Mbona nchi za Asia zolitawaliwa lakini Leo ziko mbali????
5) in short mwafrikahawezi kijitawala na kujiletea maendekeo ya kiuchumi,kisiasa na kijamiii!!!
Mwafrika mchoyo,mlafi ,mnyimi,hana maono yani ni ilimradi tuuuuu???
Hebu angalia nchi ka Uganda,Zimbabwe,Rwanda Burundi,Tanzania,somalia,Congo,nk
 
Kile kidonda hakiishi jomba, na maumivu yake hayafutiki katika damu za wanadamu wenye ngozi nyeusi.

Slavery ipo kwenye bongo na damu za watu weusi.

Jaribu kumfuatilia ''Ice cube'' katika comments zake utathibitisha hayo.
Ninawalamu waliokua wanakamata watumwa kwann hawakumshika babu yangu ,angekamatwa akapekekwa hukoooo mm nisingekua haya maisha ya kiccm ninayoishi
 
Am sure u are a disgrace to your family. Since you have chosen to believe that, then let it be..... U are a serious case of failure....
 
Huwa napata kichefu chefu nikisoma mawazo kama haya,hasa yakiwa yameandikwa na Mwafrika mwenzangu.Yaani we are so ignorant! Inauma sana.
 
Ninawalamu waliokua wanakamata watumwa kwann hawakumshika babu yangu ,angekamatwa akapekekwa hukoooo mm nisingekua haya maisha ya kiccm ninayoishi
Unakuta wazungu wawili walikuwa wanawakokota wafungwa 30 mpk 40

Hao wafungwa walishindwa hata kuwaloga au kuwapiga hata wakiuawa wawili kwa bunduki lakini hao wengine wangesurvive.

Hivi miaka yote na chuma zipo ardhini, tulishindwa hata kutengeneza bunduki ya kupambana na wazungu?

Halalu useme tunalingana na wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…