mpake limao au ndimu kumtoa shombo..Umepotea njia mtoto wa kishua rudi kule mmu hapa sio chitchat.
Watu wanajadili masuala mazito yanayohitaji watu kufikirisha akili zao wewe unakurupuka na hangover zako za mataputapu na kuanza kuleta shombo jamvini.
Kagame yuko smart...ana hasira na rasilimali zenu ...lazima amuunge mkono mtu watakaozungumza lugha mojaKuna jamaa yangu yupo Interpol Nchini Rwanda kanieleza kuwa kuna linaloendelea baina ya Zitto Anayetaka urais na Paul Kagame na alishapata kushuhudia zitto akitinga pale Ikulu ya Rwanda mapema mwaka huu.what is behind the scene?
atuwezi kuwaacha wamchafue mkombozi wa taifa letu..
Zitto ni product ya taifa kama alivyokua julius nyerere sio product ya chama pekee kama wengi wengine,amaeshapita huko,vizazi vijavyo vitakuja kusoma habari zake kwamba alikuwepo mtu anaitwa zitto kabwe ambae alipigana kufa na kupona kuhakikisha maisha yetu sisi wa kizazi hiki yanakua bora zaidi kuliko ya enzi zake.Naona Zitto anatafuta mbinu ya Julias Marema maana amepoteza supporters wengi kwenye chama chake
Je hii mbinu yake ya kutaka kureview hii mikataba itamsadia?
We can't solve problems by the same level of thinking that created them. By hon peter msigwa.
I thanked you for this post, but zitto is untrustworthyMoja ya matatizo yetu kama nchi na wananchi ni kuchukia watu wanaofikiri tofauti.
Tumezoea mazoea; ukiona mtu anaenda tofauti na mazoea tunaanza kumpa majina kibao: kanunuliwa, msaliti, anajipendekeza, hana ushirikiano, n.k.. Lazima tubadilike na kujua kwamba binadamu tu tofauti kimwili, kiakili na kila kitu.
Ili tutoke hapa tulipo lazima turuhusu akili zifikirii sawasawa na tena tuhangaike kufikiri kitofautitofauti. Kama tunataka kila mtu afikiri kama sisi ni kuendeleza utamaduni wa kutumia akili za kuazima.
Zitto ni miongoni mwa watu wachache hapa nchi aliyeamua kujipambanua na kuamua kufikiri kitofautitofauti. "Kosa" lake ni kwamba ameamua kuacha kufanya mambo kwa mazoea na ameamua kuhangaika kufikiri kitofautitofauti. Zitto analaaniwa kwa kudiriki kwake kuhangaika kufikiri na kuachana na mazoea. Atabambikizwa majina yote ya ovyo kama usaliti, kujipendekeza, n.k. Tunamtia moyo aendelee kuhangaika kufikiri, wapo watakaomuelewa.
Dah! Hata wewe Kitila?!! Haya bana lakini kumbukeni kuna mamilioni ya watanzania wanateseka kwa sababu ya unafiki wa Wanasiasa wachache.Zitto ni miongoni mwa watu wachache hapa nchi aliyeamua kujipambanua na kuamua kufikiri kitofautitofauti. "Kosa" lake ni kwamba ameamua kuacha kufanya mambo kwa mazoea na ameamua kuhangaika kufikiri kitofautitofauti. Zitto analaaniwa kwa kudiriki kwake kuhangaika kufikiri na kuachana na mazoea. Atabambikizwa majina yote ya ovyo kama usaliti, kujipendekeza, .