hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
Samsung ...
Wewe mjanja, tena una akili sana
Samsung oled ni mpango mzima
Hiyo series ya oled ndio imetoka lini tena?
Hiyo ndio latest mkuu,led ishapitwa na muda
Samsung - Inafungua hadi External Hard Disc ya 1Tera (transcend) na inacheza maltimedia file format karibu zote.Daaah mm nilijichanganya kwenye Lg, upande wa flash inasoma audio tu video zikiwa kwenye flash still utafute deki.
Daaah mm nilijichanganya kwenye Lg, upande wa flash inasoma audio tu video zikiwa kwenye flash still utafute deki.