Wadau nimekuwa nikipata utata nikiona walioolewa wanavyovaa pete. wengine inaanza engagement ring then wedding Ring, wengine Wedding Ring then engagement. Ni kipi kinatakiwa kianze? Au hakuna utaratibu maalamu wa kuvaa?

Mi nadhani inatakiwa itangulie engagement, lakini wengi naona wanavaa kwanza wedding ring then engagement nadhani hii ni kwa kuwa ukifanya hivyo inakaa vizuri zaidi kidoleni kuliko the other way, hata hivyo inategemea na style ya ring zako.
pete ni moja tu kwa sisi wa dini yetu ile, ushaolewa engagement ya nini tena, sana sana ndio utakua unataka iwe kinyume cha maana yake kwamba "MARRIED BUT AVAILABLE!"
Mimi nafikiri wedding RING ndo inatangulia maana hata ile siku ya kufunga ndoa inatakiwa kwenye kidole pasiwe na kitu, so unapovalishwa ile ya ndoa inatakiwa usiivue tena kama kuna nyingine itakuja juu ya hiyo wedding ring.
zamani nilikuwa naona watu wengi wanavaa kwanza engagement then Wedding sasa sijui ni fashion imebadirika watu kutanguliza wedding kisha engagement
for i prefer most Engagement + Wedding
Mimi nafikiri wedding RING ndo inatangulia maana hata ile siku ya kufunga ndoa inatakiwa kwenye kidole pasiwe na kitu, so unapovalishwa ile ya ndoa inatakiwa usiivue tena kama kuna nyingine itakuja juu ya hiyo wedding ring.
Kila mtu anavyaa kivyakevyake tu, hakuna utaratibu maalumu. Wengine wanaassume kwa kuwa ilianza engagement kwanza kabla ya ndoa, basi itangulie engagement ring na wengine wakishavishwa wedding ring siku ya ndoa, hawaivui tena na wanaongeza engagement ring mbele yake (ambayo waliivua siku ya ndoa).
Lakini nimeona wanawake wengi zaidi wametanguliza engagement ring