Which phone should I go for among these? Help

S5 chukua make sure unapata na warranty na unaregister na adh (accidental damage handling)
 
Sony xperia z 2 ni nzuri zaidi in terms of camera, ukaaji wa betri, ni waterproof etc... We Google zote kwa pamoja then check specifications...
 
Hujasema unataka nini kwenye simu...
Binafsi ningekushauri sony z2
 
I want to have a new phone which is the best between Sony xperia Z2 and Samsung S5

If you want to impress Me, go to Experia Z2.
but since you're not here to impress anyone then you'll decide.
 
What about htc one max vs Samsung galaxy s5 ipi ni Nzuri zaidi chief.
 
What about htc one max vs Samsung galaxy s5 ipi ni Nzuri zaidi chief.

s5 ni nzuri zaidi, ila ni simu mbili tofauti sababu one max ni phablet ni kubwa sana almost kama tablet wakati s5 ina kioo cha kawaida so inategemea mwenyewe unataka simuy ya aina gani
 
s5 ni nzuri zaidi, ila ni simu mbili tofauti sababu one max ni phablet ni kubwa sana almost kama tablet wakati s5 ina kioo cha kawaida so inategemea mwenyewe unataka simuy ya aina gani

Asante kwa darasa murua,nilikua nataka tu kujua performance ya cm zote mbili but umeshasema s5 ni bora kuliko one max,ntaachana na wazo lakununua one max kwa sasa.
 
Asante kwa darasa murua,nilikua nataka tu kujua performance ya cm zote mbili but umeshasema s5 ni bora kuliko one max,ntaachana na wazo lakununua one max kwa sasa.

S5 Ina either snapdragon 801 au 805, hizi Ni krait 400. HTC one max Ina snapdragon 600 ambayo Ni krait 300.

Kwa lugha rahisi HTC one max inatumia processor/gpu ya 2013 wakati s5 inatumia ya 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…