Even if you break the law?!If it makes you happy, it's the right thing to do (Hii naiishi 100%)
I can wait...
The secret of getting ahead is getting started.Mkuu tofautisha kati ya QUOTES(matamshi/kauli toka vinywani mwa watu) na SAYINGS,IDOMS na PROVERBS.
Kwamfano "Ndege ya Rais ni lazima inunuliwe hata mle nyasi" - Basil Mramba.
Thats a quote.
Hapo wewe umechanganyachanganya.
Hata saa mbovu kuna waqt husema kweliAkili za kuambiwa changanya na zako.
Hapana, siwezi fanya kitu kibaya then nikawa proud nacho.Natumaini haijumlishi na mihadarati.
Napenda haki na amani.Even if you break the law?!
Walakini gani babaMama kwenye huu msemo wako nina walakini..😅
Weka mchanganuo mama maana hata mateja wanajidunga misindano and they feel happy so is this the right thing to do..??Walakini gani baba
Siwezi wajudge mateja sababu sijui kwanini wamechagua maisha hayo but if it makes them happy then let them do it, mtu akiona athari zake ataacha.Weka mchanganuo mama maana hata mateja wanajidunga misindano and they feel happy so is this the right thing to do..??
We unanifaa wewe na ndio maana nipo nawe.. niahidi tu hutonikimbia..😂Siwezi wajudge mateja sababu sijui kwanini wamechagua maisha hayo but if it makes them happy then let them do it, mtu akiona athari zake ataacha.
Lenie kama Lenie nafanya nachoona ni sahihi kwangu mradi simuumizi mwingine.
Naanzaje kukukimbia babe akati wengine wote nawaona matapeli😂😂We unanifaa wewe na ndio maana nipo nawe.. niahidi tu hutonikimbia..😂
Msemo waweza uwe kweli au usiwe kweli, Sasa Hapo huo sio msemo ni Habari au ujumbe."JESUS IS LORD"
Nzi anaishi siku Saba tuu, huyo wa kumuweka miaka na huyo Babu yako mtamtoa wapi?Nzi hata umuweke kwenye mzinga miaka 100 hawezi kutengeneza asali.Huu msemo wa mjomba wangu akiwa anatunanga.