Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,762
- 14,005
eid Mubarak wana jf
naombeni ufafanuzi katika hili
jana nilikiuwa naangalia habari citizen TV ya Kenya. kulikuwa na taarifa kwamba waislamu wa kenya wameungana na waislamu wengine siku ya jana kusherekea sikukuu ya idd.
Leo katika vyombo vya habari hapa nchini ikiwemo ITV vimeripoti kwamba, siku ya leo waislamu wa Tanzania wameungana na waislamu wengine duniani kusherehekea siku kuu ya idd. sasa swali langu ni:
waislamu wa nchi gani ambao wameungana na wengine dunian kusherehekea sikukuu hii ni wa Tanzania au wa Kenya (yaani walioswali jana au leo?)