Which is which child support or children relations | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Which is which child support or children relations

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sahiba, Apr 19, 2009.

 1. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Is really mifarakano wakati wazazi wawili wanapotengana huku ughaibuni hasa wazazi hao wakiwa wametokea katika background zinazotofautiana.mifarakano zaidi even inatokea pale wahusika wanaposhindwa kuelewana katika basic things in regsrds to those children.ama mzazi mmoja anapohakikisha anawatumia watoto kuuabuse upande mwingine.Ni vizuri kutatua matatizo yenu nje ya court system kwa sababu once you go to court unaingiza uhasama ndani ya system nzima na waathirika wakuu ni watoto.Kwa wale wenye uzoefu na kesi kama hizi tafadhali leteni michango yenu ili wasio na uzoefu waweze kusoma kutokana na uzoefu wenu.Kwa wasiojua kinachoongelewa hapa tafadhali tusiharibu mada kwa sababu ni very sensitive.

  SAHIBA.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Apr 19, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Kwa nini watu waliosema wanapendana wanafikia kufarakana? what is the source of this problem?
   
 3. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu waberoya sina hakika una umri gani lakini hilo swali lako lina utata ikiwa watu wanafarikiana na mama na familia zao ambao wamelelewa na wakakulia nyumba moja tokea utotoni itakuwa wawili waliolelewa malezi tofauti ajabu kutoelewana ?Mara nyingi mwanadamu anapoamua kuoa hafanyi majaribio kaamua kunza maisha mapya lakini yanapomchosha anaona ni heri aanze kuliko kujipotezea muda.mara nyingi wenzetu kina dada unapowaambia yamekushinda unageuka kuwa adui wao namba moja na kusahau happy time zote za ndoa ile na matokeo yake watoto ndio wanaathirika.Kama una mapenzi makubwa na watoto wako basi watajaribu kulitumia hilo kukudhoofisha kifedha,kiakili na kisaikolojia kiasi hata uone vigumu hata kuspend time na watoto wako.na sehemu ya mwanzo kukimbilia ni child support bila kujali uhusiano wako na watoto.Anachotaka ni pesa yako na hataki hata kukuona wewe na watoto.Wanajamii tulijadili hili namna gani ya kueza kujenga relashion na watoto mbali na kuwasupport kimaisha.Kwa wale wa ughaibuni hasa.

  SAHIBA.
   
Loading...