Duu! haya mambo bado yapo kwenye nchi hii ya Nyerere!? au baada ya kifo cha Nyerere na misimamo yake nayo ikafa!? hii ni hatari sana, mambo ya ovyo na ya kibaguzi yanafanyika wazi mchana kweupeee, haya ndo matokeo ya kuongozwa na serikali legelege, sisi wamatumbi tutadharauliwa kwa kuwa chombo cha kutusimamia(serikali) imewekwa mfukoni mwa wawekezaji wa kigeni! How can we rid our country of kikweteism malady!?