Where Is My Comrade Kinana

Kwani umemuuliza Mange?
 
Sasa mleta umbea unauliza au unaeleza
Wacha sindano ikuingie ccm wamekuja na mtindo mbaya wa kuteka watanzani mbaya sana tutawaulizia tu 2020- tutaanza na kinana Benn mussa msukuma issa Abdahalla wote hao atuwaone.


Swissme
 
Mkuu alimtuma india kapotelea hukohuko[emoji86]
 
Comrade Kinana atakuwa Ametumwa Koromije na mkuu wa Kaya kwenda kukijenga Chama ili 2020 mgombea ubunge wa jimbo la misungwi apite kwa kishindo aje ampe uwaziri ameona ukuu wa mkoa anasakamwa sana bora ahamie Dodoma wakazi wa huko hawana udadisi kama hawa wa Dsm
 
Hiyo picha ni alipoenda kuchimba kaburi ya sumaye na lowasa kisiasa,na tuta la kuimaliza CUF,hiyo picha ni muhimu sana,mwacheni apumzike.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…