Where is Mkoko

Where is Mkoko

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Huyu mtngazaji wa star tv na redio free Africa ameenda wapi simsikii kabisa kwa sasa, Yeyote ambae anafahamu alipo naomba anijulishe
 
Wakaa wapi yakhe? huko inaelekea TV MLIMANI ya chuo kikuu haikamati. Huyu jamaa yuko tv mlimani na anaandaa kipindi cha mahijiano kizuri sana. Rekebisha antena yako
 
Shangazi huku hatuaoni Mlimani TV na Masasi pia yuko huko kwenye TV hiyo maana Mkoko yuko huko, Damumbaya nilisikia yuko kwenye redio mlimani?
 
Wakaa wapi yakhe? huko inaelekea TV MLIMANI ya chuo kikuu haikamati. Huyu jamaa yuko tv mlimani na anaandaa kipindi cha mahijiano kizuri sana. Rekebisha antena yako

Asante shangazi
 
Back
Top Bottom