Kuna swali mtu mwenye akili timamu akisoma anajua kabisa hili ni swali na inatakiwa ijibiwe kama swali lakini kuna kitu mtu akiuliza unaona kabisa hii ni kejeli hivyo inatakiwa ijibiwe kikejeli kejeli na kipumbavu hivyo hivyo.Inawezekana wewe ndiye mtoto mdogo, nimeuliza swali inatakiwa unijibu, huwezi acha nitajibiwa na wengine badala ya kuja na mipasho ukiwa umenyenyua vidole juu.
Jasusi hana time na yenu... Msije mzima before 2025 atakapo panda mti mpya... Wa Taifa.Please answer my question !
Unasema? Jesus Jesus... Weee mwana weeee angalia mkono huo usije kupotea🤐🤐🤐🤐🤐📜😭😭😭Who is Philip Mangula in this Nation?
Nahitaji kujua historia yake, ni nani haswa zaidi ya kuwa naibu mwenyekiti wa CCM baraUnasema? Jesus Jesus... Weee mwana weeee angalia mkono huo usije kupotea[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji411][emoji24][emoji24][emoji24]
Basi usidhani kama unavyodhani. Nahitaji kumjua huyu mzee. Wakati wa magufuli alikuwa naibu mwenyekiti wa CCM bara. Zaidi ya kumjua hivyo tu na anavyotafutwa inawezekana ni zaidi ya ninavyomjua.Kuna swali mtu mwenye akili timamu akisoma anajua kabisa hili ni swali na inatakiwa ijibiwe kama swali lakini kuna kitu mtu akiuliza unaona kabisa hii ni kejeli hivyo inatakiwa ijibiwe kikejeli kejeli na kipumbavu hivyo hivyo.
Nani akujibu wewe pimbi?Inawezekana wewe ndiye mtoto mdogo, nimeuliza swali inatakiwa unijibu, huwezi acha nitajibiwa na wengine badala ya kuja na mipasho ukiwa umenyenyua vidole juu.
KinenuloKama upo dar
Panda gari luwinzo za njombe
ukifika jioni sa Moja au 12 jioni
Utaamua lodge au ukodi tax hadi imalinyi (njia utaingilia hapa ramadhani njaapanda kuelekea Makete wewe mtanyoosha kulia ,kushoto kuelekea Makete ,ukifika kwenye Kijiji hicho ,utamkuta na kunashule yake inaitwa jina hilohilo ,watakupeleka
Mzee washamba yule sio kama ninyi muda wote mko mitandaoni
Where is Kinana??Please answer my question !