Where can i refine gold in Tanzania?

Where can i refine gold in Tanzania?

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
689
Wakuu niwatakie heri ya mwaka mpya.
Naomba kujua ni mahali gani nchini Tanzania naweza ku refine Gold. Pia kama kuna mahala wanatengeneza gold coins naomba msaada wa kufahamishwa.
 
wakuu bado nasubiri msaada wenu
 
Mkuu udsm department of mining and mineral processing engineering. Wanafanya hiyo kazi pia

nashukuru mkuu ntaenda huko nichek utaratibu.
 
Dept ya mining &mineral processing engineer!?hiyo haipo mkuu hakuna kitu kama icho
 
Currently there is no company doing such process in Tanzania. four years back there was Mwananchi Gold company that was established for such purpose but it existed only for few months before its expiry and some of the directors turned to something called NICOL.
 
Dept ya mining &mineral processing engineer!?hiyo haipo mkuu hakuna kitu kama icho

We acha bana habari zako now wapo vizuri sana wamepata vifaa toka bank ya dunia, wapo na laboratory ya kisasa kabisa kwaajiri ya analysis mbali mbali na wataalam toka migodi mikubwa hapa nchini,
 
Acha kuropoka vitu usivovijua weweeee!!!ieyi world bank mara maabara ya kisasa hahahahha wanazuoni wenzangu tuliopo coet wakikusikia watakuanzishia kunji..maabara!?maabara ipi iyo wakati mi mwenyewe ndo nipo maabara..P.U.M.B.A.V.U!!!!
 
Nenda siemic kundichi,au pale tanesco makao makuu kuna wizara ya madini,waambie unataka kwenda tmaa ni kitengo cha uthamini wa madini aina yote watakufanyia hiyo kazi ghorofa ya 5.
 
Wakuu niwatakie heri ya mwaka mpya.
Naomba kujua ni mahali gani nchini Tanzania naweza ku refine Gold. Pia kama kuna mahala wanatengeneza gold coins naomba msaada wa kufahamishwa.

Utapeli sio mzuri kijana fanya kazi,umewezaje kupata madini huko ulipoyapata ushindwe sehemu ya kuyasafisha? Huko mgodini upo peke yako? Acha wizi Fanya kazi halali.
 
Utapeli sio mzuri kijana fanya kazi,umewezaje kupata madini huko ulipoyapata ushindwe sehemu ya kuyasafisha? Huko mgodini upo peke yako? Acha wizi Fanya kazi halali.

happy new year. migodi midogo midogo iko mingi nchini wewe umekaa kwenye keyboard unawaza kuiba tu.
 
Acha kuropoka vitu usivovijua weweeee!!!ieyi world bank mara maabara ya kisasa hahahahha wanazuoni wenzangu tuliopo coet wakikusikia watakuanzishia kunji..maabara!?maabara ipi iyo wakati mi mwenyewe ndo nipo maabara..P.U.M.B.A.V.U!!!!
Unaelewa maana ya kurefine gold? Au umeamuwa kujibu tu, kama upo coet siyo department ya mining na mineral na kama upo ww ni kilaza. Acha kutukana wakati hujui kitu. Wanafanya na vifaa vipo mi ni mteja wao
 
Acha kuropoka vitu usivovijua weweeee!!!ieyi world bank mara maabara ya kisasa hahahahha wanazuoni wenzangu tuliopo coet wakikusikia watakuanzishia kunji..maabara!?maabara ipi iyo wakati mi mwenyewe ndo nipo maabara..P.U.M.B.A.V.U!!!!

Dah na wewe ni msomi kweli unatukana namna hiyo?unatishia kunji, unajitaji ukombozi wa fikira.
Kesho fika pale coet kutana na Eng Kamara au Eng Gongo wakuelekeze, yawezekana upo maabara ya chakula ni bora ukaulizia kuliko kutapika namna hiyo.
 
Wakuu niwatakie heri ya mwaka mpya. Naomba kujua ni mahali gani nchini Tanzania naweza ku refine Gold. Pia kama kuna mahala wanatengeneza gold coins naomba msaada wa kufahamishwa.
Salama mkuu, Iam a private gold refiner based in Dar. For details pm me via nisalile@yahoo.com
Regards.
Nisa
 
We acha bana habari zako now wapo vizuri sana wamepata vifaa toka bank ya dunia, wapo na laboratory ya kisasa kabisa kwaajiri ya analysis mbali mbali na wataalam toka migodi mikubwa hapa nchini,

Mkuu, hiyo migodi mikubwa hapa nchini no ipi? Hao wataalamu ni wafanyakazi migodini wenyeji, au wafanyakazi migodini wenyeji?
 
Wacheki Wakala wa ukaguzi madini Tanzania - TMAA wako masaki chole road mbele ya kituo cha tax ukivuka tuta mbili zile.... Nadhani watakusaidia.....
 
Mkuu, hiyo migodi mikubwa hapa nchini no ipi? Hao wataalamu ni wafanyakazi migodini wenyeji, au wafanyakazi migodini wenyeji?

Fika pale COET nafikiri watakuelekeza vizuri, though sijaelewa vizuri swali lako..
 
Back
Top Bottom