where Allies Get their mandates | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

where Allies Get their mandates

Discussion in 'International Forum' started by Lawkeys, May 5, 2011.

 1. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Where do America and her allies get that mandate????? Where NATO get that mandate to impeach a legitimate Government?????

  It started creatvely like this. The WW1 broke out. At the end of the war the League of Nations ("LoN") was formed, partly for preventing recurrence of another war.

  The WW1

  1. had tought all the nations the Consequences of the war.
  2. compelled states to give up some of its Sovereignity to LoN.

  Consequent to that;

  1. The allies could now easly rule the World under the umbrela of the LoN.

  Years later, Musolin in Italy, Hitler in German the WWII broke out, and at the end:-

  1. The UNO became unavoidable evil. The States further were compelled by circumstances to yield their sovereignity to UN, the security council, IMF, etc increased even more the subjection of the state interests to the so called international community interests.

  2. Human rights much more enshrined. Demonstration, choice of sexual orientation and etc are rights,

  Then after the 9/11, incidence. We need stringent Terrorists laws. It is ok for America and her allies to conduct millitary operations wherever they wish, and etc.

  I don't doubt that America and her allies are currently the world's police. It is not by chance, rather by design. The end torwards centralisation of worlds affair justifies the means. No wonder America can decide who is your next president.

  I submit!!!!
   
 2. B

  BENTA Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu nakubaliana na wewe ila tujadili namna ambavyo tutatoka kwenye mtego huo kwani watawala wetu karibu wote wame
  pachikwa na mabeberu wa magharibi hivyo vita ni kubwa kweli.
   
 3. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kunajinasua kwenye mtego huu tunaweza lakini tumekua kama walevi, tukishapata bia mbili-tatu tunatafuta ya nne na ya tano.
  *Tuache ku-invest West, tuache kuwatukuza na turidhike na vya kwetu; tuende kwao pale inapobidi na hakuna mbadala wa kwengine. Majority ya nchi za third world (especially Arabs) wame-invest heavily west na hata hawa viongozi wetu wa kiafrika, vijisenti vyote vile walivyochota viko west; hakuna kiongozi hata mmoja asie na account west, wakiugua hawataki kutibiwa tena Muhimbili hata kama ni upele.
  Walala-hoi nao, kitu kizuri ni cha west, hawajui kua hao west siku hizi bidhaa zao nyingi zinatengenezwa China.
  Kuhusu viongozi wetu kua wamepachikwa na west ni kweli na watendelea kufanya hivyo mpaka tutakapoamka. Vyama vya upinzani pale wanapodhulumiwa kura nao hukimbilia west kushitaki, kweli tutafika?
  Tukiweza kubadilika hapo...uwezekano wa kujinasua utapatikana. Swali nani atamfunga PAKA KENGELE?
   
Loading...