When you're in love

mkuu BAK sijui imekuwaje nimeweka thread just now ya wimbo wa john legends....hebu ipitie
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Nauhusudisha tu huu wimbo na jamaa anavyompenda mkewe, mapenzi ya kweli bado yapo duniani banaaaa. Hapa kwangu umekuwa kama wimbo wa Taifa. Na hapa jukwaani nimeshauweka zaidi ya mara mbili.

mkuu BAK[/B[/URL]] sijui imekuwaje nimeweka thread just now ya wimbo wa john legends....hebu ipitie
 
Nauhusudisha tu huu wimbo na jamaa anavyompenda mkewe, mapenzi ya kweli bado yapo duniani banaaaa. Hapa kwangu umekuwa kama wimbo wa Taifa. Na hapa jukwaani nimeshauweka zaidi ya mara mbili.


yaani mkuu hizi threads sijui ziunganishwe? dah
 
Hata remix yake pia iko bomba sana, ni mara chache mie husuuzika na remix lakini hii ni bomba na katika charts mbali mbali duniani iko katika top 3/top 5

 
Last edited by a moderator:
Yaani huu wimbo ni bomba sanaaa BelindaJacob umempa jamaa ujiko mkubwa sana. Anatesa kwa raha zake. Na kautunga mwenyewe kwa mkewe.


Wow! I love the song. Pure message🙂)
I could do karaoke. He he
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Jamani mnaturusha roho wenye michina aaagh !! Nrushieni kwenye brututh!!
 
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…