Really stressful, ilifika time sijui nitakula nini, walio nizunguka walinielewa tu. Kwa vile nilikuwa ni mtu wa busy, nilifukuzwa kazi bila ya kutarajia, nilijifunza pale nilipo kuwa sina kazi kuwa, kazi ni ile ulio jiajiri, sio hii ya kuajiriwa, nilijipanga upya baada ya kupata kazi nyengine, ili siku za usoni niwe na ajira nilio jiajiri na kuwajiri wengine