When Things Goes Bad to Worse....

I wanna take you internationally

Wee ngoja nikusemelee kwa Dadii.... kuwa unanichokoza...!

Baabuuuuu Asprin.....

Njoowooo huku umuone huyu ananichokodhaaa

Anathema anataka kunipeleka intaneshenali.... kwani babuu wewe si unanipelekaga akademic kila thiku....!

Mi nimemwambia thitaki yee hathikii 😜.
 
Wewe πŸ«‚ Kasie achana na Asprin ,ntakupeleka Jamaica
 
Wewe πŸ«‚ Kasie achana na Asprin ,ntakupeleka Jamaica

Weeh...!!! Sema kweliii....!!!

Kwahiyo nimuage Babu kiwa unanipeleka Jamaika....! Utanirudisha salama....

Mi babu yangu nimemzoweya mwenyewe ananibembelezagaaa...πŸ˜….

Babuuuu huyu amepata ruhusa yako aniibe.....!!?
 
Atakusamehe bila shaka utarudi poa kabisa ,kabisa.....!
 
Hivi, yule Lacoste ni kenge au mamba?
 
Nashukuru siku iliyofuata walinipigia wakaniambia niende, huduma imekamilika na tabasamu limerejezwa [emoji4].

Usiwekeze tabasamu lako kwa watu wengine, labda kwangu tu….. smile bebezi [emoji4][emoji3059][emoji847]
 
Hebu muulize yuko tayari kwa hii??

Weeh...!!! Sema kweliii....!!!

Kwahiyo nimuage Babu kiwa unanipeleka Jamaika....! Utanirudisha salama....

Mi babu yangu nimemzoweya mwenyewe ananibembelezagaaa...πŸ˜….

Babuuuu huyu amepata ruhusa yako aniibe.....!!?

Mziki wetu anaujua lakini? Au anachokoza visivyochokpzeka?

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…