When the wrong one loves you right

When the wrong one loves you right

cat woman

Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
14
Reaction score
2
Habari za asubuhi wanaJf,

Hii ni mara yangu ya kwanza kutoa thread kwahiyo naomba ushirikiano wenu wapendwa.Katika mahusiano yangu mambo si mazuri kama nilivyotarijia,the guy in my life runs out of the qualities ambazo zilifanya nimpende.

Nimejitahidi kuwa na mawasiliano mazuri nae na kumueleza ila haijasaidia,kwa upande mwengine na rafiki wa kiume who is so good to me!na anaqualities ninazotaka he truly cares unlike my man.

He is just a friend ila he is always there in Gud tyms and bad tyms.How i wish my man would b the 1 who treats me right n' make me feel tenderly loved.

Nifanye nini jamani.
 
Nimekuelewa ila umechanganya kidogo about that two friends of yours,,,nmoja hana qualities lakini anakuganda na mwingine perfect kwako ila si wapenzi..
Hapo inabid uamue moja tu ili ujinusuru,just onesha kutokumjali huyu/kumpotezea.

Haitapita muda mrefu utaona kapunguza ukaribu wake kwako sababu ataona kuwa hapendwi,usimshirikishe mambo yako wala usiombe msaada wake,its better umfanyie kwa vitendo ukimwambia live humtaki atajisikia vibaya.
 
Andika basi vizuri ili ueleweke usaidiwe mimi hicho kiswainglish kimemishinda kuelewa inaonyesha piabwewe mwenyewe you are not serious my dear
 
Siku zote ambae hajakubaliwa atajifanya kukutreat vizuri zaidi mpaka unaona Ur man doesn't treat u right na katika mahusiano hamuezi kuishi mila siku kama ndio mnaanza kuna ups and downs hakuna njia iliyonyooka moja kwa moja. Wanasema utamaliza mabucha nyama ni ile ile
 
Maybe the dude's qualities you fell for are still intact but you're the 1 running to the friend's arms, so you trying to justify so you don't feel the guilt.

Maybe if you gave your guy the attention you giving the friend, he would care more.

Maybe the friend is using to his advantage what you tell him your guy isn't.

Maybe the friend is only that good as a friend.

Maybe you give the friend a chance, and later on comes another friend who's even better.

Or maybe you're right, the dude's running outta qualities. So you should also run.
 
Nionavyo unataka kitu perfect wakati hata wew haupo perfect,mgande man wako nawew show yale mazuri unayotaka kufanyiwa, kwa upande wa usiyoyapend mwambie kwa lugha laini si ya ugomvi, mwanamke kapewa power kubwa kushawishi mwanaume.

Kubreak up na ku make up sio good solution.
 
yan nyie wanawake watu wa ajabu kweli, mtu anaonyesha caring kidogo tu as a friend tayari unaona jamaa yako hafai.

Tulia na wako usije leta thread nyingine hapa ya kibuti.
 
mwanaume anapotongoza au anapokutaka hata kabla hajakutongoza huonesha ukarimu na macare ya kufa mtu sasa hamia kwa huyo mwache ulie nae,badae utarud hapa kusema bora uliemwacha!!
 
Acha ulafa kuchamba kwingi kutoka a vima. Nachokwmbia ni kwamba lichie hilo DANGA rafiki likupite afu endelea kufukuzia upepo kwa bwana wako ukifika miaka sabaini umechoka na kibwana alostoo chako, unaliona lile DANGA limeoa liko Masaki unabakia mpaka siku unaenda kaburiniuajisemea THAT COULD HAVE BEEN ME if i was not too stupid and afraid. SOME TIMES COMMON SENSE IS NOT COMMON AFTER ALL.

GIRL IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING WHY YOU BECAME SECOND RATED IN LIFE. GRAB HILO DANGA RAFIKI BY THE BALLS OR ELSE DONT SAY WE DIDNT TELL YOU SO.

Over kama umenisomaaa.
 
Huyo unayemuona anafanya vizuri sasa hivi ndio atakayekuwa mfanya vibaya mdamfupi ujao, ebu jaribu kumvulia pichu mara 1 tu halafu urudi kutueleza hayo makitu bado yapo.

Let me tell you 1 thing. Hakuna aliyekamilika, tunapaswa kurekebishana, japo inaweza chukua mda tu kujirekebisha kabisa. nakwambia huyo atabadirika tu we mfanyie hivyo unavyotaka kufanyiwa na vile anavyopenda na umwambie kabisa live tena bila wasiwasi, mf: "mpenzi wangu napenda sana tukitaniana na kucheka pamoja usiwe unanuna tu kila wakati baba" He must change unless otherwise if he don't love love.

Sa we kimbilia kuachana tu, utacha utacha wengi, at the time ushakua CARDELA huko chini.
 
thanx guys I appreciate everybody's outlook,i know life isn't a bed of roses bt I luv my guy a lot that's why I want everything 2 be perfect tho perfection is far 4rm human nature
 
Maybe the dude's qualities you fell for are still intact but you're the 1 running to the friend's arms, so you trying to justify so you don't feel the guilt.

Maybe if you gave your guy the attention you giving the friend, he would care more.

Maybe the friend is using to his advantage what you tell him your guy isn't.

Maybe the friend is only that good as a friend.

Maybe you give the friend a chance, and later on comes another friend who's even better.

Or maybe you're right, the dude's running outta qualities. So you should also run.

maybe i jus need more attention or maybe it's jus a twist of emotions running wild so I 'll take t one day @ tym and makes things ryt.
 
Nionavyo unataka kitu perfect wakati hata wew haupo perfect,mgande man wako nawew show yale mazuri unayotaka kufanyiwa, kwa upande wa usiyoyapend mwambie kwa lugha laini si ya ugomvi, mwanamke kapewa power kubwa kushawishi mwanaume.

Kubreak up na ku make up sio good solution.

i 'll take ur advice 4 sure!
 
Acha ulafa kuchamba kwingi kutoka a vima. Nachokwmbia ni kwamba lichie hilo DANGA rafiki likupite afu endelea kufukuzia upepo kwa bwana wako ukifika miaka sabaini umechoka na kibwana alostoo chako, unaliona lile DANGA limeoa liko Masaki unabakia mpaka siku unaenda kaburiniuajisemea THAT COULD HAVE BEEN ME if i was not too stupid and afraid. SOME TIMES COMMON SENSE IS NOT COMMON AFTER ALL.

GIRL IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING WHY YOU BECAME SECOND RATED IN LIFE. GRAB HILO DANGA RAFIKI BY THE BALLS OR ELSE DONT SAY WE DIDNT TELL YOU SO.

Over kama umenisomaaa.

Oh lara reality stings!ila nimekusoma sana.
 
Shika hiyo mbili unayoijua, hizo tatu unazotamani zinaweza kua zako au sio zako vile vile.

Maisha Leo....kesho uongo!
 
Habari za asubuhi wanaJf,

Hii ni mara yangu ya kwanza kutoa thread kwahiyo naomba ushirikiano wenu wapendwa.Katika mahusiano yangu mambo si mazuri kama nilivyotarijia,the guy in my life runs out of the qualities ambazo zilifanya nimpende.

Nimejitahidi kuwa na mawasiliano mazuri nae na kumueleza ila haijasaidia,kwa upande mwengine na rafiki wa kiume who is so good to me!na anaqualities ninazotaka he truly cares unlike my man.

He is just a friend ila he is always there in Gud tyms and bad tyms.How i wish my man would b the 1 who treats me right n' make me feel tenderly loved.

Nifanye nini jamani.

how can he be the wrong one yet he loves you right? unless you are hooked onto your man, I suggest you ran as fast as your legs can carry you into Mr 'wrong's' loving, caring arms!
 
asa unasubiri nini kuwa na huyo friend ambaye yuko good to you
 
Acha ulafa kuchamba kwingi kutoka a vima. Nachokwmbia ni kwamba lichie hilo DANGA rafiki likupite afu endelea kufukuzia upepo kwa bwana wako ukifika miaka sabaini umechoka na kibwana alostoo chako, unaliona lile DANGA limeoa liko Masaki unabakia mpaka siku unaenda kaburiniuajisemea THAT COULD HAVE BEEN ME if i was not too stupid and afraid. SOME TIMES COMMON SENSE IS NOT COMMON AFTER ALL.

GIRL IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES BY THE BALLS YOU WILL END UP WONDERING WHY YOU BECAME SECOND RATED IN LIFE. GRAB HILO DANGA RAFIKI BY THE BALLS OR ELSE DONT SAY WE DIDNT TELL YOU SO.

Over kama umenisomaaa.

We ndio buree kabisa, yani unamshauri mwenzio amsaliti mpenzi wake...Thats too bad
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom