Sijaelewa mkuu, kwa jinsi wewe uonavyo ni kwamba wanawake wote ni malaya ila hutulia tu pale wanapopata wanao wapenda?
Yaani hakuna wanawake wanaojizuia kufanya umalaya kwa kuwa wanajithamini wenyewe na sio kwasababu wanawaheshimu na kuwahurumia wanaume wao?