when snowball met c6 in Dodoma

Teh teh teh.... mpaka ndugu yangu umeishiwa maneno.... Hapo ss umefungua ukurasa mpya wa jamaa kusakwa kama lulu JF

atasakwa kama Lulu hahahahaaa we Donn una maneno
 
Last edited by a moderator:
Mkuu C6 na Mimi nashukuru kukutana na wewe...big up kwa kushow up
Mkuu Husninyo usijali ntakuja mpwapwa ....
Dodoma imetulia me love it
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ndio maana hata "I love u" zako ulikuwa unazisemea kimoyomoyo....!!! Sasa me ningejuaje kama ulikuwa unazisemea kimoyomoyo?? Dah.. nilibug meeen.......

umeniacha hoi eti i love you za kimoyomoyo... nilikuwa najitutumua kuzitoa laivu
 
yaani ukaamua kujimilikisha peke yako huyo SnowBall pacha wa mdogo wangu snowhite?
ina maana hukuona kuwa na mimi nilisema tukutane?
next time akija mgeni mwingine ukinisahau sitakusamehe rafiki
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…