When should you settle down? Mathematics of Love

When should you settle down? Mathematics of Love

Ceteris Paribus?
You mean "other things equal" or "all other things being equal" or "other things held constant" or "all else unchanged" or “holding other things constant.”
Hahaa ... umenifurahisha sana. Natamani sana kuijua hiyo Lugha ya kale nisome mavitu ya akiana Plato, Da Vinci, Cicero, Julius ceasar, e.t.c.
 
"Assuming other factors are constant". Since you can't hold other things constant.

Ukisoma mambo ya kale kwenye original content ndo utaelewa mantiki ya maandiko yale. Usisome mada hizi ambazo zipo diluted and summarized.
 
tumezoea kusema "mapenzi hayanaga formula" eh kumbe kuna watu walishakuna vichwa wakapata....kazi ipo
 
Gazeti tena la kizungu,ngoja nikatafute mkalimani na dictionary
 
Mathematical models to study human behavior.. I see ts not realistic at all,..behavior is affected with a lot of things, and there's no way you can account for all of them and come up with a model applicable to everyone, even if u make clusters still it wouldn't suffice
 
Mkuu hadi uelewe hizo Monte Carlo Simulation thing lazima usome math hadi level ya University au Usome biashara au uchumi level ya university. Utakuwa umewatenga wengi sana humu jamvini. Sema hizo hesabu zake huyo mdada zimekaa ki-Sheikh Yahaya yaani ujanja mwingi kuliko reality in real world. Looks like that mathematical model is not reliable(i am just thinking and guessing). Unaeza kuta ukimfuatilia huyo dada alifeli ktk mambo ya mahusiano au ndoa.
VERY TRUE,
 
mhh sijaelewa kwa kweli why would one use mathematics to calculate feelings..
Weeeell... its an idea not general rule...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom