''When people comes together there is nothing they can fail''

 
punguza ubishi.
Sijaja humu jamii kubishana na mtu, mimi ni mwana mapinduzi nimekuja humu jamii forum kufanya mapinduzi yatakayoleta mabadiliko katika Taifa. Kuamsha fikra za uhuru na uzalendo kwa watanzania ili wafikirie kuhusu utaifa, ile wawwe wamoja na ili walitumikie taifa lao kwa dhati. Kama ujumbe wangu unamakosa ya kiingereza ingekuwa bora kwa kuibadilisha na kunitumia ili ieleweke zaidi.
 
I strained every nerve to savvy your message but all I had was an amphibological statement plethoric with countless spelling faws plus anacoluthic sentences.
''When there is no vision people perish'' You wan't to perish in your ignorance becouse when i observe where our country heading i see trouble.
 
''When there is no vision people perish'' You wan't to perish in your ignorance becouse when i observe where our country headed i see trouble.

Ujumbe ni mzuri sana lakini chaguo la lugha halikuwa makini.
 
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…