Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 294
Binadamu ameumbwa na hisia ambazo zinaweza zikamkosesha raha kwa muda mrefu na hatimaye kuharibu moja kwa moja uwezo wa kufikiri na ufanisi wa kazi zetu. Ukweli kuna baadhi ya hisia ni vigumu sana kuzidhibiti hasa zinazohusisha moyo moja kwa moja.
" Ukiwa na hisia kali sana moyoni mwako na umejaribu kuzidhibiti lakini umeshindwa kabisa, zikubali hizo hisia na ufanye kile moyo unataka (zitekeleze zile hisia) kisha endelea na shughuli zako za kawaida."
" If you have deep feelings but you try to control it but still exists( uncontrolled) ,It is better to accept it and implement(satisfy your heart) then continue with other business"
Kwani kuzidi kwa hisia hupunguza sana uwezo wa kufikiri na ufanisi katika kazi zetu. Asilimia 42.22 hupungua katika uwezo wa kufikiri wa kawaida.mfano mtu alitakiwa kuwaza kununua Basi la abiria kutokana na uwezo wa kufikiri kubanwa atawaza kununua hiace au bajaji. Sometime hisia zikizidi inafikia hata mtu kubaka, kuua ,magonjwa ya moyo kutokana na uwezo wa kufikiri kupungua na mengineyo kama kusimamishwa kazi.
Mfano: Ukitokea msiba ambao unawagusa sana ndugu wawili.Yule atakayelia kwa sauti kubwa na machungu hata kugala gala chini atakuwa huru kabisa ndani ya wiki mbili na akili yake inakuwa na nafasi kubwa.Yule anayelia kimoyo moyo huku akitumia leso kufuta machozi itamchukua miezi 4-5 kupoteza machungu ya msiba na akili kuwa huru.Hivyo ana heri yule aliyelia sana kwa sauti kuliko huyu wa kimoyomoyo.
mfano mwingine ni mapenzi. Wengi wamefeli sana maisha kwa kuficha hisia zao yani mapenzi yamewafelisha kwa kuminya uwezo wao wa kufikiri. Kama una hamu kubwa (hisia) ya kungonoka na umejizuia lakini bado basi ngonoka na uendelee na mambo mengine ila kuwa makini usijiendekeze sana huko. Hata mtu anafikia kubaka ujue hisia zake za mapenzi zimezidi kiasi kwamba akili yake inaamua kutumia nguvu bila kujari taratibu za mapenzi.
"when necessary zitii hisia zako" ili kuondokana na madhara kupungua uwezo wa kufikiri.