My love for God is enough when human beings despise My love for them
My love for God is enough when human beings despise My love for them
Tuambie kuhusu haya mapenzi ya kibinadamu Tetra, God's love is with no doubts always there and enough.My love for God is enough when human beings despise My love for them
Basically, this is very tru Kaunga. Lakini je, umewahi kujihisi kuwa the love that sorrounds you is enough that you dont need 'particular love'??sometimes when we are desperately looking for a 'particular love', tunaweza tusi-realize how much love is surrounding us na mwisho wa siku tukawakatisha tamaa watu wanaotupenda dearly.
My love for God is enough when human beings despise My love for them
I think the love I have in my life is NOT ENOUGH..........
mhhhhhhhhh...........bado nawaza!
Downloading..........0%mhhhhhhhhh...........bado nawaza!
Mungu ni wa ajabu... Na Mungu ni mwema, ni nadra sana katika hali ya kawaida ukakuta kuwa mtu umekuwa deprived of love kabisa. Destiny, tatizo ambalo linatukumba wengi ni kuwa hatutosheki, haturidhiki na mbaya zaidi ni kuwa hatupo appreciative. Ni kwa makusudi kabisa kuwa Mungu aliweka huwezi ukaona roho ya mtu kama anakupenda ama anakuchukia... Unakuta a person amekazana kung'ang'ania 'love' toka mahala ambapo hio love imegoma na wala haitaki na ni batili... Then unakuta huyo mtu anaumia na kuugua kabisa kuwa S/he is not loved... Anasahau mzazi wake ambaye yupo na maybe anampenda sana, anasahau ya sibling wake ambae ukute anampenda sana, anasahau ya mtoto wake ambaye ukute pia anampenda sana na yule yeyote ambae aweza kumpenda.
Unapokuwa upo so needy... So desperate and so demanding katika feelings na emotion zako. Hata kama una love vipi haiwi 'enough'. For love to be enough inabidi hata wewe mhusika uwe na love ya kweli, sababu if you truly love you will also trust love you are given hata kama sio ya kina kirefu kama yako. Na that inatosha kama unataka amani...
Mpaka binadamu apate maana ya maisha na kujua amepata kile kilichomleta hapa tulipo ni mpaka ajue maana ya upendo.
'
Tunahangaika sana kutafuta pesa,wapenzi "wazuri",marafiki n.k,lakini bado tunahisi something is missing,why?
'
Hajujijui na hatujui kwanini tupo hapa,tunabahatisha tu.
'
Tunabahatisha kwa kuwa,wote tumejikuta hapa,mpaka leo sababu hakuna anaeijua yeye kuwepo hapa.
'
Kama hutaki mavurugu jifunze upendo ni nini!

Madam hii imetulia, will it be ok kama tukisema kuridhika is just a perception? na kama hivyo why would some one have perceptions that the love they have is not enough?