When life turns sour

Hasa pale msala unapokuwa sio wako(ikiwa umesingiziwa).

Ila kama kweli umetenda kosa basi kwa malipo hayo unastahili
 
Hasa pale msala unapokuwa sio wako(ikiwa umesingiziwa).

Ila kama kweli umetenda kosa basi kwa malipo hayo unastahili

Unamdhamini mtu kwa roho na nia njema kabisa halafu anasepa, msala wote unakuangia wewe.....!!! Inaumaje?
 
Huyo alitupa mtoto
 
Kweli huyu dada anatamani kufa si ndio aliemdumbukiza mtoto chooni huko Iringa ili kukwepa msala wa mumewe sababu amezalia nje mme akiwa safarini.
 
Kweli huyu dada anatamani kufa si ndio aliemdumbukiza mtoto chooni huko Iringa ili kukwepa msala wa mumewe sababu amezalia nje mme akiwa safarini.

Duu kumbe ziraili mwache akipute
 
Huruma inanijia sana nikimuona mwanamke analia (my mother don't ever cry infront of me, i will cry more than you)
 
Kumbe lilizalia nje mura,harafu rikatupa kichanga,waacha walifunge.

Sent from my radio
 
Kapigwa tatu bila kakosa mtoto, kakosa mume na sasa yuko lupango

Saa nyingine Mungu anatupa adhabu hapa hapa kabla hata hatujafa, inakuwaje mtu yupo serious anatupa kiumbe ambacho hakina hata hatia!!!? Hizi roho zinatoka wapi!!?
 
Saa nyingine Mungu anatupa adhabu hapa hapa kabla hata hatujafa, inakuwaje mtu yupo serious anatupa kiumbe ambacho hakina hata hatia!!!? Hizi roho zinatoka wapi!!?
WAHEED SUDAY siku hizi watu ni wengi ila binadamu ni wachache mno
 
Last edited by a moderator:
Somo lepo lakini ni kiiza tajiri anahangaika apate mtoto masikini kanadumbukiza kachoni toba yahilai awi mungu tusitiri na huu ukatili wa kakitoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…