When I was your man

Thanks BAK!! Dah ngoja nijipe raha
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Pink - Try lyrics



Where there is desire
There is gonna be a flame
Where there is a flame
Someone's bound to get burned

cc Mwali, huu je?? BAK tupe video yake tuwe na Karaoke session.
Hapo pamenigusa sana. Hot hotter hottest lol
Asante dear.
 
ahahahhaa, umenichekesha sana aunt.
na kweli wao hawaijui blogu yako sidhani kama unahitaji kujua yao, duh.
sintah ana kichobingo hapa (kigrosari mshenzy) kwenye njia nnayopitaga, naomba nikupe outing ya in siku moja walau coca cola baridi
Ndio kina nani hao? wenyewe wanaijua blog yangu? #TuheshimTofautiZetu
 
Sikuhizi mtu akisema Bob tu, mie najikuta namalizia Sambeke

umejuaje? na za kina bob mlay kama sio baraka mwinshehe

kwani wewe blogu za kina mamnge na sinta hauzijui? au yule alieombwa mbegu na mukulu?
 
Na mimi nadandia

ahahahhaa, umenichekesha sana aunt.
na kweli wao hawaijui blogu yako sidhani kama unahitaji kujua yao, duh.
sintah ana kichobingo hapa (kigrosari mshenzy) kwenye njia nnayopitaga, naomba nikupe outing ya in siku moja walau coca cola baridi
 
ahahahhaa, umenichekesha sana aunt.
na kweli wao hawaijui blogu yako sidhani kama unahitaji kujua yao, duh.
sintah ana kichobingo hapa (kigrosari mshenzy) kwenye njia nnayopitaga, naomba nikupe outing ya in siku moja walau coca cola baridi
I know you might not believe me but I never heard of Sintah before today.
Imebidi nikam-google haraka and I know why sijawahi mskia: Not interested
Huyo mngine ndie niliwahi mskia kwa Aunty yangu who shares a friend (???)
Mi nina ka-blog kangu with one follower (My mum) napublicize scientific articles.
Hiyo outing, I am in, in, IN. Naona Kongosho nae kisha express interest.
 
He he he, hao wawili ukiwaweka nyumba moja ya tembe unakuta imekuwa ghorofa.
Wana maneno hao na majigambo

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…