Tanzania ilipata kuwa na waziri wa Elimu Joseph Mungai, huyu nafikiri ndiye anaweza akawaeleza watanzania nini alifanya na kwanini alifikiri kufanya vile alikuwa sahihi kwa mahitaji ya elimu Tanzania ya muda ule, uliopo na ujao.

Changanya Physics na Chemistry likawa somo moja sikumbuki liliitwaje, kisha futa masomo ya kilimo na ufundi kwa shule zote halafu akaja kusaidiwa na Mama 6 kuleta VodaFasta yani kila uchao ni vituko.
Zigo kaja kulibeba Kawambwa na Joyce wakipromotiwa na mzee wa Tanzania=Zimbabwe+Pemba.