When death calls

Kuna meli za nchi fulani mabaharia wake wana tabia hii, ila baada ya kulalamikiwa sana siku hizi sisikii tena vitimbwi hivi, sijui wanawatupa deep sea au ndio wameacha
 
Hapana mkuu sikuwepo, nimekumbuka tuliowapoteza

Yeah ni kweli walipotea wapendwa wetu sidhani kama kuna watu waliwajibika au kuwajibishwa wale waliosababisha ajali ile iliyochukua roho lukuki
 
Yeah ni kweli walipotea wapendwa wetu sidhani kama kuna watu waliwajibika au kuwajibishwa wale waliosababisha ajali ile iliyochukua roho lukuki

Nashangaa watu wanalilia waliochukua pesa ndio wawajibishwe ila waliosababisha hasara ya uhai sijasikia kelele yeyote. .

Huu umasikini bwana
 
Wengi walipoteza maisha vikiwemo vitoto vichanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…