Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Your army as of 2020 is the weakest in East Africa...bado mko enzi za Nyerere kakaEast Africa miaka yote Kenya mpo vizuri kwenye uchumi lakini kwenye mambo ya kijeshi na intelejensia Tanzania tunaongoza.
Hata 1970s Amin alidhani hivyo. Vifaa uwa vinawadanganya sana watu.Your army as of 2020 is the weakest in East Africa...bado mko enzi za Nyerere kaka
😀 😀 😀Hata 1970s Amin alidhani hivyo. Vifaa uwa vinawadanganya sana watu.
Whats funny? Amin alikuwa na vifaa superior zaidi yenu na hadi sisi lakini tulimpiga.😀 😀 😀
Tangu miaka hiyo Idd Amini na wakenya wengi walidharau jeshi la Tanzania hadi pale Amin alipoona anachapwa pamoja na vifaa vyake na vile vya kisasa walivyo kuja navyo askari wa Libya.Your army as of 2020 is the weakest in East Africa...bado mko enzi za Nyerere kaka
Vifaa gani??Whats funny? Amin alikuwa na vifaa superior zaidi yenu na hadi sisi lakini tulimpiga.
Tangu miaka hiyo Idd Amini na wakenya wengi walidharau jeshi la Tanzania hadi pale Amin alipoona anachapwa pamoja na vifaa vyake na vile vya kisasa walivyo kuja navyo askari wa Libya.
Ghadaf alitudharau hivyo hivyo na toy zake nzuri alizonunua kwa fedha ya mafuta ya walibya.
Naomba kabla hujaandika fuatilia vifaa vya Gaddafi alivyompa wakati wa vita kabla hujakurupuka na majibu yako.Vifaa gani??
Ndege zake za kivita zilikuwa zimeharibiwa na Israel kwenye Entebbe Raid.
Rebels wa Uganda walikuwa wamekusanyika Tanzania tayari kumshambulia
Waganda walikuwa wamechoka naye
Uchumi wa Uganda ulikuwa umesambaratika..
Saa hizi mkijaribu kushambulia Uganda , UPDF itasimamia Tanga na wengine Mtwara, nanyi mtajirusha baharini kuokoa maisha yenu
Ungetafuta kwanza facts kabla haujanijibu.Vifaa gani??
Ndege zake za kivita zilikuwa zimeharibiwa na Israel kwenye Entebbe Raid.
Rebels wa Uganda walikuwa wamekusanyika Tanzania tayari kumshambulia
Waganda walikuwa wamechoka naye
Uchumi wa Uganda ulikuwa umesambaratika..
Saa hizi mkijaribu kushambulia Uganda , UPDF itasimamia Tanga na wengine Mtwara, nanyi mtajirusha baharini kuokoa maisha yenu
View attachment 1431721
And this what we have got, if you guys play with us we will send beautiful brand new equipment on your way in Magu's voice.
Ungetafuta kwanza facts kabla haujanijibu.
FACTS:
- Entebe raid of IDF ilifanyika 1976 zikaharibiwa ndege pale airport Entebe na sio silaha zingine kama Tanks.
- Vita ya Tanzania na Uganda ilikuwa mwaka Oktoba1978 hadi 1979 kwa miezi mitano (5 months).
- Uganda (Jeshi la Amini) alipewa msaada wa askari kama 2500 toka Libya na vifaa vya kisasa, soma hapochini.
The Tanzanian Army acquired a Soviet BM Katyusha rocket launcher (known in Uganda as saba saba), with which they started to fire on targets in Uganda. The Ugandan Army retreated steadily. Libya’s Muammar Gaddafi sent 2,500 troops to aid Amin, equipped with T-54 and T-55 tanks, BTR APCs, BM-21 Grad MRLs, artillery, MiG-21s, and a Tu-22 bomber. However the Libyans soon found themselves on the front line, while Ugandan Army units were using supply trucks to carry their newly plundered wealth in the opposite direction.
Reference: Uganda–Tanzania War
na hapa Revisiting the Tanzania-Uganda war that toppled Amin
Kwa hivyo utaona siyo kweli kwamba Uganda hakuwa na silaha nzuri za kutosha.
Kingine umeona hapo mstari wa mwisho kwenye kifungu cha kiingereza?
Hapa "However the Libyans soon found themselves on the front line, while Ugandan Army units were using supply trucks to carry their newly plundered wealth in the opposite direction. "
Askari wa Amini walikosa nidhamu wakati wa vita wanawaza kuiba mali za watu wana waacha walibya wapigane mstari wa mbele, hii haina tofauti na nidhamu ya jeshi la KDF kwenda kufanya biashara ya mkaa Somalia badala ya kufanya kazi ya Ulinzi au vita walivyo tumwa na nchi yao.
Kenya mna fail vita dhidi ya Al-Shabab sababu ya nidhamu mbovu ya jeshi lenu, na mkienda DRC mtaisha kabisa sababu ya nidhamu mbovu na ukora wa askari wenu.
Hizo facts zako zinaandamana na niliyoyasema... ndege za kivita za Uganda ziliharibiwa na Israel mwaka wa 1976, kwa hivyo mwaka wa 1978 Iddi Amin hakuwa amenunua ndege zingine wakati TZ ilipomshambulia.. Air-Force yake ilikuwa kwenye dis-advantage... kwa hivyo mlisaidiwa na Israel in-directly..Ungetafuta kwanza facts kabla haujanijibu.
FACTS:
- Entebe raid of IDF ilifanyika 1976 zikaharibiwa ndege pale airport Entebe na sio silaha zingine kama Tanks.
- Vita ya Tanzania na Uganda ilikuwa mwaka Oktoba1978 hadi 1979 kwa miezi mitano (5 months).
- Uganda (Jeshi la Amini) alipewa msaada wa askari kama 2500 toka Libya na vifaa vya kisasa, soma hapochini.
The Tanzanian Army acquired a Soviet BM Katyusha rocket launcher (known in Uganda as saba saba), with which they started to fire on targets in Uganda. The Ugandan Army retreated steadily. Libya’s Muammar Gaddafi sent 2,500 troops to aid Amin, equipped with T-54 and T-55 tanks, BTR APCs, BM-21 Grad MRLs, artillery, MiG-21s, and a Tu-22 bomber. However the Libyans soon found themselves on the front line, while Ugandan Army units were using supply trucks to carry their newly plundered wealth in the opposite direction.
Reference: Uganda–Tanzania War
na hapa Revisiting the Tanzania-Uganda war that toppled Amin
Kwa hivyo utaona siyo kweli kwamba Uganda hakuwa na silaha nzuri za kutosha.
Kingine umeona hapo mstari wa mwisho kwenye kifungu cha kiingereza?
Hapa "However the Libyans soon found themselves on the front line, while Ugandan Army units were using supply trucks to carry their newly plundered wealth in the opposite direction. "
Askari wa Amini walikosa nidhamu wakati wa vita wanawaza kuiba mali za watu wana waacha walibya wapigane mstari wa mbele, hii haina tofauti na nidhamu ya jeshi la KDF kwenda kufanya biashara ya mkaa Somalia badala ya kufanya kazi ya Ulinzi au vita walivyo tumwa na nchi yao.
Kenya mna fail vita dhidi ya Al-Shabab sababu ya nidhamu mbovu ya jeshi lenu, na mkienda DRC mtaisha kabisa sababu ya nidhamu mbovu na ukora wa askari wenu.
Mimi siombei vita kati yetu sisi jirani lakini ikitokea utapata majibu sahihi.Jeshi la Kenya halijawahi kufurushwa na mapanga kama TPDF huko DRC kaka...
Soma vizuri hiyo sehemu ya kiingereza!!Hizo facts zako zinaandamana na niliyoyasema... ndege za kivita za Uganda ziliharibiwa na Israel mwaka wa 1976, kwa hivyo mwaka wa 1978 Iddi Amin hakuwa amenunua ndege zingine wakati TZ ilipomshambulia.. Air-Force yake ilikuwa kwenye dis-advantage... kwa hivyo mlisaidiwa na Israel in-directly..
Congo hata vita vyake ni mchezo ukilinganisha na Somali ndugu..Mimi siombei vita kati yetu sisi jirani lakini ikitokea utapata majibu sahihi.
Kwamba kushinda vita ni zaidi ya silaha.
Kazi ya askari wachache wa TDF kule Congo, Shelisheli, Liberia, n.k. inajulikana kwa matendo na sio kwa maneno na porojo.
Siombei KDF wapeleke askari Congo itawakuta aibu kubwa sana.