Sasa hivi watu wanaenda vekesheni Jamaica na wapiwapi sijui kupanda mabembea!
Really, hizo simulizi ndogo mbili ulizotupa hapo kwenye bandiko zinaleta hisia za ajabu sana, na kuonyesha kwa uwazi jinsi ambavyo baadhi ya viongozi wa zamani walivyokuwa dedicated kwaajili ya watu, na wakajisahau nafsi zao kabisa na kujishusha!
Mungu bariki watu hawa!