When a girl mary an engineer

keynessian

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
590
Reaction score
423
Huyu mdada anajutia hii ndoa
 

Attachments

  • 1410507205563.jpg
    34.1 KB · Views: 1,198
Nina uhakika akiwa na bahati huyo mke, unyumba labda mara moja kwa mwezi
 
Hasa watu wa IT...hawana maana hata kidogo
 
Dah, iyo kali aisee!! Haya mambo kweli yapo ila watu wanavumilia.
 
Hapo tendo la uumbaji ni mara moja kila baada ya miezi miwili.
Nalog off
 
Hahahahah....bora niolewe na fundi makenika ye akirudi nyumbani magari anayaacha gereji

Hahahahah,Afu pia kuna wAle wengine mambo ya ofisini 24hrs hadi nyumbani Hao pia ni shida
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…