huu ni wehu! basi asinge kaa mbele ya kamera, anafanya nini sasa hapo? dar mkubwa in elekea unawasaka kwelikweli hawa, nakumbuka ulituletea ya wale waliopiga picha ya pamoja. maendeleo wanayataka, na mawazo mgndo hawataki kuyaacha. π
At least ungesema Afghanistan!!!??? maana hii ni "burqa" sio "hijab na nikaab" kama wanawake wa Saudi wanavyovaa. Au ndio cut and paste ili kutengeneza uongo tu dhidi ya waislmau kwa ujumla au wanawake waislamu in particular???