#WhatWouldMagufuliDo: Rais Mpya wa Tanzania atamba Twitter

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
Rais wa Tanzania, John Magufuli amekuwa maarufu ghafla kwenye mtandao wa Twitter, baada ya kuasisiwa kwa hashtag inayofahamika kama #WhatWouldMagufuliDo.

Msingi wa hashtag hii ni picha za vichekesho zinazowaonesha watu wakibana matumizi ya hali ya juu kwenye maisha ya kila siku, mfano; Kufuta siku ya Valentine Day baada ya mpenzi kudai zawadi, kupiga pasi kwa kutumia sufuria na maji ya moto, kuvaa miwani yenye vioo vya mfuko wa rambo na kadhalika...

attachment.php

Hashtag hiyo ilianza Nov. 24 na post ya @Qwanzamuzic aliyechushwa na misafara ya viongozi kwenye maandalizi ya ujio wa Papa Francis nchini Kenya na kujiuliza, #WhatWouldMagufuliDo , na huo ukawa mwanzo wa umaarufu wa John Magufuli, kwa namna nyingine!

================================
================================
(STORIFY) Tanzania's new leader Magufuli walks the talk, and African Twitter follows - to hilarious effect

"Magufuli's austere approach resonates with a generation that is jaded with endless corruption scandals and government excesses."

Magufuli isn't messing around. (Photo/ File)

NEWLY elected Tanzanian president John Magufuli is on a roll - he has cancelled independence day celebrations, banned all but essential foreign travel, and restricted first and business class travel for all officials except the president, vice president and prime minister.

Magufuli also announced a raft of measures meant to curb government excesses and boost revenue collection, directing the Tanzanian Revenue Authority to cut down on tax exemptions.

Public servants have been put on notice, the head of a major public hospital was fired and the hospital's governing council dissolved when Magufuli paid an impromptu visit and found patients sleeping on the floor and diagnostic machines broken.

The president is eager to live up to his campaign slogan "Hapa Kazi Tu" (work and nothing else), and it was only a matter of time before Africans on Twitter latched onto the tough measures and started applying them to their daily lives - to hilarious effect.

A generation jaded

Jokes aside, Magufuli's austere approach resonates with a generation that is jaded with endless corruption scandals and government excesses, where only the most egregious scams would move the needle.

And with currencies around the continent tanking, and revenues drying up as the global economy slows, Africans are eager to see a leader who not just talks tough, but tightens the belt where it hurts the most - in the heart of government.

For example, early this month, Swaziland's King Mswati is said to have taken 15 wives, 30 children and over 100 servants with him to a recent Africa leaders conference in India, booking out 200 hotel rooms in advance.

But other fresh presidents, too, are taking the tough road, and getting lauded for it. In Nigeria, Muhammadu Buhari's reputation as a no-nonsense disciplinarian is having a similarly chilling effect in a country that had got used to living as it pleases; just the ‘fear of Buhari' has been enough to start whipping Nigeria into shape.

And in Senegal, the country's Senate was abolished to save money.

These days, though, Magufuli, who was nicknamed "The Bulldozer" when he was Works minister because he oversaw the building of many roads, is all the rage:

Source: Mail&GuardianAfrica

Attachments

  • what.png
    what.png
    111.3 KB · Views: 6,268
Nzuri hiyoooooo Magufulification of Muhimbili National Hospital(MNH)
 
Aiseee nimeona bhana.....wakenya wameichangamkia kweli
 
Hehehe!! hapa Kenya tumepata sababu zote za kuwapimia wake/hawara wetu hela za matumizi, inaitwa Magufulification, lazima tuendane na wakati na uwezo wa mapato. Ukitaka nikupele out Serena hotel hapo chap chap naku-Magufulify tunakwenda River Road hotel. Mtakoma raundi hii.
 
Hahaha!napeter tuuu
 
Kapiga marufuku hata uchapishaji wa card za christmass kwenye mawizara! Kweli hapa kazi tuu
 
1)I was about to call someone then ask myself #whatWouldMagufuliDo now have decide to send please call me

2)I was planning to go restaurant to get breakfast then I thought #whatWouldMagufuliDo nikaamua kununua mkate na kutengeneza chai nyumbani

3)nilitaka kununua zawadi ya birthday kwa mpenzi wangu lakini nkajiuliza #whatWouldMagufuliDo then I have decides to take her to dig farm
 
Nimejifunza wakenya wapo active sana kwenye mtandao na hawana roho za kwa nini sana, wabongo hata ufanye nini wao ni kukosoa tu, na sitegemei kuona wabongo wakimsifia kiongozi yoyote wa Africa kama wakenya wanavyojiachia kwenye mitandao.
 
Hehehe!! hapa Kenya tumepata sababu zote za kuwapimia wake/hawara wetu hela za matumizi, inaitwa Magufulification, lazima tuendane na wakati na uwezo wa mapato. Ukitaka nikupele out Serena hotel hapo chap chap naku-Magufulify tunakwenda River Road hotel. Mtakoma raundi hii.

nimeipenda iyo, n mwendo wa kubana matumiz, hapa kaz tu.
 
Nimejifunza wakenya wapo active sana kwenye mtandao na hawana roho za kwa nini sana, wabongo hata ufanye nini wao ni kukosoa tu, na sitegemei kuona wabongo wakimsifia kiongozi yoyote wa Africa kama wakenya wanavyojiachia kwenye mitandao.

sure! ila sio watz wote wanaroho mbaya, wengine tunawapenda sana majiran zetu
 
Nimejifunza wakenya wapo active sana kwenye mtandao na hawana roho za kwa nini sana, wabongo hata ufanye nini wao ni kukosoa tu, na sitegemei kuona wabongo wakimsifia kiongozi yoyote wa Africa kama wakenya wanavyojiachia kwenye mitandao.

Mtanzania anayeponda hizi juhudi nzuri za Magufuli atakua mnafiki tu na asiyekua na uzalendo, inafaa mazuri yanakubalika na kwa pamoja mnaponda mabaya. Wapo watu dunia hii kazi yao kuponda tu, hata kwetu Kenya wapo, ndio maanake kama rais unafaa kuwa mvumilivu sana na kuwalea watu wote hata kama hawataki kukuona. Ni kazi ngumu sana ambayo binafsi mimi najua siwezi maana ukiningua natembeza kichapo kwenda mbele...hehehe
 
1)I was about to call someone then ask myself #whatWouldMagufuliDo now have decide to send please call me

2)I was planning to go restaurant to get breakfast then I thought #whatWouldMagufuliDo nikaamua kununua mkate na kutengeneza chai nyumbani

3)nilitaka kununua zawadi ya birthday kwa mpenzi wangu lakini nkajiuliza #whatWouldMagufuliDo then I have decides to take her to dig farm

Wanted to go out wit BAE, and then I thought #WhatMagufuliWouldDo. Niko single sasa...
 
Kenya ni ndugu zetu na watani zetu, umaarufu wa Magufuli kenya ni sahihi maana action zake wanazikubali sana kuliko maelezo na sisi kama wakenya wamefanya kitu kizuri tujifunze kuwapongeza
 
(STORIFY) Tanzania's new leader Magufuli walks the talk, and African Twitter follows - to hilarious effect

"Magufuli's austere approach resonates with a generation that is jaded with endless corruption scandals and government excesses."

Magufuli isn't messing around. (Photo/ File)

NEWLY elected Tanzanian president John Magufuli is on a roll - he has cancelled independence day celebrations, banned all but essential foreign travel, and restricted first and business class travel for all officials except the president, vice president and prime minister.

Magufuli also announced a raft of measures meant to curb government excesses and boost revenue collection, directing the Tanzanian Revenue Authority to cut down on tax exemptions.

Public servants have been put on notice, the head of a major public hospital was fired and the hospital's governing council dissolved when Magufuli paid an impromptu visit and found patients sleeping on the floor and diagnostic machines broken.

The president is eager to live up to his campaign slogan "Hapa Kazi Tu" (work and nothing else), and it was only a matter of time before Africans on Twitter latched onto the tough measures and started applying them to their daily lives - to hilarious effect.

A generation jaded

Jokes aside, Magufuli's austere approach resonates with a generation that is jaded with endless corruption scandals and government excesses, where only the most egregious scams would move the needle.

And with currencies around the continent tanking, and revenues drying up as the global economy slows, Africans are eager to see a leader who not just talks tough, but tightens the belt where it hurts the most - in the heart of government.

For example, early this month, Swaziland's King Mswati is said to have taken 15 wives, 30 children and over 100 servants with him to a recent Africa leaders conference in India, booking out 200 hotel rooms in advance.

But other fresh presidents, too, are taking the tough road, and getting lauded for it. In Nigeria, Muhammadu Buhari's reputation as a no-nonsense disciplinarian is having a similarly chilling effect in a country that had got used to living as it pleases; just the ‘fear of Buhari' has been enough to start whipping Nigeria into shape.

And in Senegal, the country's Senate was abolished to save money.

These days, though, Magufuli, who was nicknamed "The Bulldozer" when he was Works minister because he oversaw the building of many roads, is all the rage:

Source: Mail&GuardianAfrica

Hehehe!! hapa Kenya tumepata sababu zote za kuwapimia wake/hawara wetu hela za matumizi, inaitwa Magufulification, lazima tuendane na wakati na uwezo wa mapato. Ukitaka nikupele out Serena hotel hapo chap chap naku-Magufulify tunakwenda River Road hotel. Mtakoma raundi hii.

Hahahahhahhahhaahhah I love my neighbors. You guys are hilarious.
 
Back
Top Bottom