whatsapps na huawei ascend y300

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,934
Ndugu zangu naomba msaada wenu ktk chili nimedownload whatsapp kwenye play store ya android lakini nashndwa kuaccess profile picture mfano nkitaka kubadili picha na pia status. Msaada wenu wakuu;

mwanzoni nlkuwa natumia nokia x2 ila matatzo yeyoye
 
ukiopen whatsapp bonyeza menu (sio home) then shuka hadi setting utaona profile.

menu ya android ni hii hiko kibutton kilichozungushiwa duara jekundu chenye mistari
 
ukiopen whatsapp bonyeza menu (sio home) then shuka hadi setting utaona profile.

menu ya android ni hii hiko kibutton kilichozungushiwa duara jekundu chenye mistari

As ante ngoja no jaribu
 
Last edited by a moderator:
Hivi hizi simu za Huawei Ascend Y300 inafaa kuflash na kutumia line zote?
 
Hivi hizi simu za Huawei Ascend Y300 inafaa kuflash na kutumia line zote?

Mkuu si multline labda sio zile za tigo. Hata hivyo zinafaa kuflashi yupo fundi wa kariakoo ana uzi wake jukwaa la matangazo madogomadogo au hapa mkielewana anakufanyia online au wewe mwenyewe km una huo utaalam
 
Mkuu tusichoke nazungumzia hizo hizo za Tigo walizozindua juzi kama ofa.Naomba unipe title ya huo uzi ili niguatilie nadhani naweza kuiflash mwenyewe pia.Hivu ukiflash hautaharibu mpangilio wa ndani wa simu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…