poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Ukishaenda hapo kwenye status i means sehem imewndikwa my status utaona kuna kajicho hivi na namba pembeni then ukiclic hapo utaifungua hiyo pchako na utaweza kuona idadi ya watu waliview status ako na nani kaisview status ako
AfadhaliSijakiona hiko kijicho mkuu
Sawa mkuu nimeona
Nenda Apkmirror utakuta old vision kibao za whatsapp...binafsi sijaipenda kabisa mana status ya maandish ndo iko poa, old version ingekuwepo ningeirudisha tuu
ewe kizazi cha fb na twitterCDM hamna akili NECTA hawakupi Cheti ukipata DIV 0 huyo mwehu wenu hicho Cheti chenye Ziro kakitoa wapi
tumia gb whatsapp, wama whatsapp au fm whatsapp hazina upuuzi huoWhatsapp itapotea kama 2go wakiendeleza undezi.. Najuta ku update!
[emoji23] [emoji23]ewe kizazi cha fb na twitter
tumia gb whatsapp, wama whatsapp au fm whatsapp hazina upuuzi huo
ewe kizazi cha fb na twitter
tumia gb whatsapp, wama whatsapp au fm whatsapp hazina upuuzi huo