miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,155
Nimepata katika kila emoji wameweka jinsia zote wakifanya kitendo kimojaYea naona wameongeza na baadhi ya emoji
maana mara ya kwanza walimuweka binti peke yake akidance saa hizi ni wote ni vyema wameona watutendee wote haki
Update Kwanza
Hahaha hiyo Rest in peace Sitta imenichekesha hatariiPia WhatsApp Imewakomesha wale wa Kusahau Status mpaka Leo Mtu ameandika
Happy New Year
Rest in Peace Sitta
Happy Nyerere Day
sasa status inakaa kwa Saa 24 tuu.
Baada ya hiyo 24hrs inakuaje?Pia WhatsApp Imewakomesha wale wa Kusahau Status mpaka Leo Mtu ameandika
Happy New Year
Rest in Peace Sitta
Happy Nyerere Day
sasa status inakaa kwa Saa 24 tuu.
Inafutika kwenye server automaticallyBaada ya hiyo 24hrs inakuaje?
Basi si update!!!Inafutika kwenye server automatically
hawajaiba that's creativity.......Whatsapp wameiba features za snapchat..instagram..
kaubunifu ka kuiba...status za aina hiyo niliziona snapchat na instagramhawajaiba that's creativity.......
Nenda sehemu ya add chat yenye alama ya + utaona watu woote walio WhatsApp kwenye contact zakosijui ni mimi tuu ninayetumia windows phone au wote maana sioni watu waliopo watsapp ,i mean hakuna column ya favourites hapo ndo nahisi walipokosea kidogo maana sasa hv siwez Jua kama mtu huyu ninayemsave yupo watsapp au hayupo kirahisi mpaka nifanye kama namtext hivi
Nimependa katika kila emoji wameweka jinsia zote wakifanya kitendo kimoja
Mbona hipo mkuu, ukiwa upande wa charts mkono wako wa kulia juu Kuna kama kiboksi ambacho kinaonekana kama n notification ya sms ukikatap hako Basi unaona watu wako.sijui ni mimi tuu ninayetumia windows phone au wote maana sioni watu waliopo watsapp ,i mean hakuna column ya favourites hapo ndo nahisi walipokosea kidogo maana sasa hv siwez Jua kama mtu huyu ninayemsave yupo watsapp au hayupo kirahisi mpaka nifanye kama namtext hivi
[emoji23] [emoji23]Status za mipasho kwaheri....hii status ya ss wanaona contacts wako tu na unaweza kuwablock watu wasione vilevile....demu wa zamani kwaheri