Whatsapp,Twitter,Facebook bure!, na JF je?

Hii ni biashara wewe.., wakibaki watu wa kuchangia point tu cku zote tutapakimbia humu.., watu wa kuongea pumba kama nyinyi ni muhimu sana ili ku-balance mada.., tunatoa mada kidogo na nyie mnatoa pumba kidogo basi mambo yanakuwa SWADAKTA.., chawa eeh..
 
biashara za kulazimisha wateja kama wewe pasua kichwa nani afanye,we lala tu umeshavurugwa na chelsea yako.
 
biashara za kulazimisha wateja kama wewe pasua kichwa nani afanye,we lala tu umeshavurugwa na chelsea yako.
Chelsea ni offer gani hiyo.., ndio unatumia ku-download pumba bure kama ilivyo WTF au..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…