Mtu anakaa anakazi ya kuperuziii profile pic za watu na kuchukua kiasi cha muda wake kukutext nakukumbusha kubadili...hana cha kum-kip busy..ndo ushakunaku wenyewe
Kuna mvulana alifiwa na kaka yake juzi eti akaweka picha ya bro wake akiwa kwenye jeneza kafunguliwa kabisa na status kaandika "we wil mic u bro" aisee nilimshangaa sana status ilitosha lakini picha ilikua too much.
yaani kuna watu hiyo Whatsapp wameishobokea utadhani hawana kazi kutwa ni kutuma picha kubadili status na mengine ya kuboa ole wako umshauri sasa utaambulia maneno makali mpaka ujute kwa nini hata ulikuwa na namba yake yaani ni shidaaaaaa!!!!!!